Nimemkuta anasasambua huku akipigiwa makofi

Kwani mkeo? Kama wewe kaweza kukusambulia kwa raha zako, kwanini asiwasasambulie wengine kwa raha zao? Una hati miliki?

Biashara ni matangazo! Unanchekesha, eti "mpenzi". Mpenzi pochi tu kwa anaeweza kukuvulia kabla ya ndoa. Usijidanganye.

kwani wewe hauvui?
 
akisasambua ataongeza kipato home baada ya kutuzwa...mia
 
Kwani mkeo? Kama wewe kaweza kukusambulia kwa raha zako, kwanini asiwasasambulie wengine kwa raha zao? Una hati miliki?

Biashara ni matangazo! Unanchekesha, eti "mpenzi". Mpenzi pochi tu kwa anaeweza kukuvulia kabla ya ndoa. Usijidanganye.

nawasiwasi na wewe,jamaa anaomba ushauri tena mnamdis?
 
Umesema anayejiita je wewe unamwitaje?inamaana mko kimajaribio?kama anaweza mambo komaa naye ila muelekeze yale unayotaka na usiyoyapenda atakusikia na mtajenga.
 

Hapo kwenye red and bolded.......chondechonde kina dada tafadhalini kina dada acheni 'simulation' jamani mweee!
 
shem vipi tena! usiwe mkali bana mi naona ni sehemu ya kuongeza kipato,hata hivyo huoni kuwa hujamtendea haki husninyo? mia

husninyo hana tatizo coz sio mtu wa maskendo na ndo maana nampenda.wewe si ndo ulikua unamtetea lafikiyo X?HIVYO NDO VITUKO VYAKE.na bado analia.mia
 
ukimuhoji zaidi atakuambia ni shetani alinipitia
 
first meeting na yeye ilikua wapi?kama ni bar,club ungetegemea nini?na wewe ulienda maisha club kufanya nini?yaonekana wote mna tabia zilizosawa

1time tulikutana jamii forum.halafu ana id mbili.akiebdelea na upuuzi wake namsema kwa invisible.sasa hivi anajiita X-GIRLFRIEND.mia
 
ndio ukome, si ulimtenda mwana jf ww
 
na wewe nenda kasasambue.
Kwanza utapata hela, pili utakuwa umelipiza kisasi

mkuu maneno ya face book usiyalete jf.umesoma uloyandika kabla ya kupost?mia
 
mwambie tu ukweli, mwambie ulimuona mwenyewe na mwambie uliona nini na nini, mwambie unavo jiskia kuhusu hili alafu akikubali alikuwepo ndio muanza kufikiria mtafanyaje aache tabia hiyo inayo kukera wewe na anayo ionea aibu mwenyewe.

mpango ndo ulikua huo lakini ndo hivyo kakataa.hadi nguo alizo vaa nlimwambia.mia
 


Lmao in blue.....

Yawezekana anakupenda mno na anajua ukijua ukweli utamuacha....
 
ndio ukome, si ulimtenda mwana jf ww

hapana mkuu,sijamtenda.yeye alihisi natembea na husninyo eti kisa kaona pm yake.isitoshe alikua ananipakazia tu usimsikilize.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…