Nimemkuta anasasambua huku akipigiwa makofi

kama sio mke wala huna haja ya kuumiza kichwa,kawe kwa ajili ya show au kujimkimu tu!
 
Kwa kifupi anakufaa, tena sana....! Ukitaka maelezo zaidi sema....!
 
sasa kama wewe hupendi kujiachia afanye nini, ni kutoroka kimya kimya na kwenda kujipa raha ebo
 
Mwite nyumbani akishavua nguo mwekee huo muziki alokuwa anaucheza club.
 
100 Kwani hujasikia wakisema duniani wawili-wawili? kwanini usingempigia simu wakati upo hapo uli uhakiki hata kwa mbali c ungemuona akipokea jamen? na wewe uache uongo we unaumwa mara club ????uliambiwa wanatoa first aid huko? umevuna ulichopanda sasa.
 
Ajira hiyo kaka,kama mkwanja waliomtunza wa kueleweka fanyen club mbalimbali
 
Kaka ushahidi unao, sasa unaomba ushauri wa nini?
 
1time tulikutana jamii forum.halafu ana id mbili.akiebdelea na upuuzi wake namsema kwa invisible.sasa hivi anajiita X-GIRLFRIEND.mia

Sio fresh mkuu kumuaibisha demu wako kwa kutaja kabisa id yake au mapenzi yameisha? ungeacha tu ile x ili iwe msamiati kwa sisi wapita njia tu
 
Nyie wote mna pepo la uongo! kaeni mtulie tabia zenu zinafanana. Mgonjwa anaendaje club? haya wewe nae bwanako anaumwa badala ya kumuuguza unaenda kukata mauno Club????

Ni utoto mkikua mtaacha!
 
1time tulikutana jamii forum.halafu ana id mbili.akiebdelea na upuuzi wake namsema kwa invisible.sasa hivi anajiita X-GIRLFRIEND.mia

Sasa ukimsemea kwa invisible ndo atamkataza asisasambue akienda huko club? au post zake hazitokubaliwa tena hapa jf? think twice figganigga.

Ushauri wa bure kwako:
Kaa na huyo X-GIRLFRIEND wako jaribu kumuuliza kwanini aliamua kujidhalilisha mbele za watu? hajui kwamba amekudhalilisha na wewe pia? Ukimaliza hayo myamalize nyie wawili cz maamuzi yote yapo mikononi mwenu.
Nawatakieni kila la kheri.
 
Sio fresh mkuu kumuaibisha demu wako kwa kutaja kabisa id yake au mapenzi yameisha? ungeacha tu ile x ili iwe msamiati kwa sisi wapita njia tu
na hii ni moja wapo ya adhabu.amezidi mkuu hadi nakuja hapa ujue amenichosha na tabia zake.wengine si wanawake ni vikwekwelekwe.hebu jenga picha alivyokua ananisema hapa kwa kuntaja id na mambo anayofanya.nataka mjue kwamba huyu siyo nmepotea njia.mia
 
Nyie wote mna pepo la uongo! kaeni mtulie tabia zenu zinafanana. Mgonjwa anaendaje club? haya wewe nae bwanako anaumwa badala ya kumuuguza unaenda kukata mauno Club????

Ni utoto mkikua mtaacha!

mshauri wifi yako.mimi nlisha muomba msamaha na kutulia kabisa.lakini yeye muongo,dharau,kiburi na kila baya analo yeye.nmechoka.sasa hivi hata mtaani haonekani wala simu hapokei.huyu kweli ana pepo la ngono.mia
 
hii ni jf series naona ..lol
nasubiri next episode ...lol
 
Kama ni kweli mkuu umepotea njia CHUKUA HATUA kwani mademu wapo wengi sana sio kupotezeana muda kwa kutajana hapa jf au ni sifa eeeenh kama ni sifa endeleeni tu kumwaga mchele kwenye kuku wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…