wakuchuja
Member
- Jan 12, 2014
- 17
- 35
Habari wakuu,
Nilitangaza uchumba kanisan na binti mmoja
Iko hivi niliambiwa huyu binti ni nesi yupo (mikoa fulani), nikavutiwa nae nakam-approach na bahati nzuri akanielewa nikawa nimemtafuta mchungaji kumpa habari
Tumeishi kwenye uchumba ni zaidi ya miezi saba sasa, amekuwa akija mara moja moja nyumbani na kiukweli nilikuwa nimeweka malengo nae tayari
Yeye ni mpole, mcheshi na mkarimu sana lakini pia kajaaliwa uzuri wa asili, juzi nikiwa safarini nikapota kwenye lodge moja kupata usingizi ili usiki ukipita niendelee na safari
Ile lodge ina bar pia upande wa pili, nikaona isiwe tabu wacha niende nikapate soft drink kule bar, kutahamaki nikaona sura kama ya yule mchumba wangu
Nikawa najipa moyo maana binadam tunafanana labda tu wamefanana, ila cha kuchangaza tulipokutanisha macho akaduwaa, alikuwa akitembea na kapu la vinywaji likamponyoka
Nikajaribu kumpigia ikaita simu yake pale pale alikuwa nayo mkononi, ndo nikawa nimethibitisha kuwa ni yeye kweli, niliumia sana mpaka mda huu sipo vizuri maana nilikuwa nimeweka malengo nae
Nilikiwa najiiandaa kuwa na nesi kumbe mwenzangu ananichora, yaani kumbe hawa dada zetu wapo wanaotoka nybami na kwenda kufanya ufusika mbali kisha wakirudi nyimbani wanajifanya kama huko waliko wanakazi za maana
Sijaandika sehemu (kanisa nilipotangaza uchumba) na wapi nimemkuta akifanya kazi kwa kuhofia kumchafua mtu au taasisi ya dini fulani