Nimemkuta yu mjamzito!

haya, na nyie msichiti hadi mnazaa huko nje. Isiwe mkuki kwa nguruwe.

kacheat lkn ndio asitumie condom jamani? hapo kamsaliti vinaya mno kuruhusu uke wake utumiwe na mwanaume mwingine bila kinga,sisi tukicheat walau tunatumia kinga, divorce fasta hapo

Kwa hiyo NN tatizo lako sio kwa nini amechiti, tatizo lako ni kwa nini amechiti irresponsibly.

Huu ni ukomavu.

Kuanzia katikati siyo sababu..............Naomba ujenge mazingira ambayo wewe unadhani mke aliyekutwa na mimba anapaswa kusamehewa............

kujua mke amezini inatosha kutoa talaka...mimba ni ushaidi usio na mashaka...

Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?

Dah! Kweli ana guts... hapo talaka unajipa mwenyewe yaani hata mume hatojua why umesepa!

eeh,mbona kawaida 2.n mistake za kbinadam.nasamehe 2naendeleza maisha

Kama ni kubakwa lzma angetoa taarifa polisi, au hata kunitaalifu yaliyomkuta. Sio had nirud ni aniambie

issue nyeti kama hiyo ni ya kuongea face 2 face..

Km unampenda wala hutafanya kitu. Love is blind.

Kwahiyo katumia huo upofu kutundikwa mimba, kwa kifupi ni dharau kubwa kaionyesha kwangu na sina njia nyingine zaidi ya kuanza maisha mapya bila yeye..

Kuendelea kuwaza hivyo afu unamsikia anakoroma sentimita chache kutoka ulipo lala ni kukutafutia kesi ya mauaji ni bora nijiepusha kwa kumuacha na hiyo mimba yake kwa amani mbona wanawake wengi mjini kwanini nihangaike na huyu asiyejali hisia zangu, kucheat kacheat na kidhibiti kaniachia nikione...no way wacha Mungu akamsamehe mie naendelea na maisha yangu..

Mie ndugu yangu mkewe aliamua kuondoka mwenyewe kimya kimya huu sasa ni mwaka wa tano

Kwa watu ambao wanafikiria in these lines... Mkeo can not even dare kupata mimba... Thou ni adimu saana ukute a Man ansema na kufanya the above...

Kwanza ningezimia kwa hasira. Nikizinduka ni talaka kumi. Sitaki dhambi ya kumchukia mtoto atakayezaliwa.

Nakubaliana na wewe kabisa!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…