adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Daahhh miss chaga popote ulipo nimekumiss sana.
Ingawa hatupo kimwili lakini kiroho nakukumbuka sana.
Michango yako matata na vibonzo vyako vimekosekana sana humu.
Upatapo ujumbe huu tafadhali respond ASAP.
Mi nipo moshi huku mbwaaruki mbele ya kiborlon njia ya kwenda himo na marangu karibu sango!hapa nakula mbege shayo yupo munishi alikuwepo manka anapika lymo anawapa mbuzi majani.mariale pia alikuwepo mnama pia alipiga simu anakuja