Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzini na mke wa mtu tena bila kificho.

Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mume lakini alikataa na kudai hana mume

Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake.

Sasa juzi kaja kunambia eti ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.

Leo kanitumia SMS kaniambia hajui atakuja kumwambia nini mume wake, nikamuuliza kwani una mume akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau.

Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakini mimi nimemwambia nilikuwa sijui jamani.

Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana.

Ninalo mwaka huu wazee.

Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje.

LONDON BABY
 
Kama mumewe sio mjeda bas upo safe.
Lakini
Unaomba ushauri wetu wa nini, kwan siku unaenda kumgegeda ulituomba ushauri...??
Pambana na hali yako, na uanze kujichanga matunxo ya mtoto
 
Kama mumewe sio mjeda bas upo safe.
Lakini
Unaomba ushauri wetu wa nini, kwan siku unaenda kumgegeda ulituomba ushauri...??
Pambana na hali yako, na uanze kujichanga matunxo ya mtoto
Matunzo yenyewe mkuu hayana shida kabisa shida nimempa mimba mke wa mtu
 
Unatembea na mke wa mtu unajua ni dhambi hata hivyo unadhini unajua ni dhambi halafu kuja kwetu kuomba ushauri unaanza na neno la "Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana" kweli ungetubu kwanza ahahah joke
 
Mwambie akurudishie mimba yako.
Usiwe mpole kiasi hicho kumpa kila mtu.
Hakikisha unatembea na KY kila uendako
 
Hao watoto 7 unawatolea matunzo?utakuja kuoa mke ambaye amezalishwa na watu wengine na wewe.
 
Unatembea na mke wa mtu unajua ni dhambi hata hivyo unadhini unajua ni dhambi halafu kuja kwetu kuomba ushauri unaanza na neno la "Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana" kweli ungetubu kwanza ahahah joke
Mkuu unanitania wakati mwenzako nina magumu
 
Back
Top Bottom