Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Ndo maana mi nasisitiza hapo karata muhimu ni wewe kuongea vizuri na huyo bidadaNdio inatakiwa a postpone ila issue wazazi wake lazima waje na wakijua ni mimi Mwalimu automatic nimeharibu icon ya chuo so nahisi ajira hakuna tena
Sawa mkuu nashukuru sanaNdo maana mi nasisitiza hapo karata muhimu ni wewe kuongea vizuri na huyo bidada
Sio case ya kukufukuzisha kazi. Sema ongea na dogo asikutaje.Private kaka
Due to TAMAA/vimate mateUzinzi ni gharama sana. Discuss (5Marks)
Pole sana brotherMbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU
Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Hahaha 🤣Unaenda kulombewa kwanza
Nondo sana hii kaka nitafanya hivi kaka haina shidaPole sana brother
Fanya yote ila asitoe mimba, unaweza kupata consequences kuliko hizo unazozikimbia, assume akableed mpaka akafa, huo msala utauweza..?
mwambie asingizie mtu yeyote wa mkoa wa mbali, maana si lazima aliyempa mimba awe wa maeneo hayo, then wewe chini kwa chini utakua unalea
Sawa ntaongea nae mkuu nashukuru sana kwa support nzuri ya ushauriSio case ya kukufukuzisha kazi. Sema ongea na dogo asikutaje.
Mkuu nilikuwa sipiti binti anajitambua sana tu kwaiyo niwawai wazazi sindio kabla hawajaja chuoni sindio?Kabla wazazi hawajaja hapo wawai wao, kajitambulishe maliza kesho, ila sasa kama ndiyo ulikuwa unapita tu hilo balaa
Bahati nzuri umeishajua kitakachokukabili,so jipange mapema na ujitahidi kuandamanaKaka tatizo nahisi ntakosa ajira kama itajulikana kuwa ni mimi nimempa mimba mkuu wa chuo hawezi kuniacha Salama
HahahahahaBahati nzuri umeishajua kitakachokukabili,so jipange mapema na ujitahidi kuandamana
Inawezekana 100% unless awe under age vyuoni hakuna we fata process zote kajitambulishe it's not big dealDaaah hili nalo neno
Nikitoa Mahari kaka inawezekana kuwa protective mechanism kwangu juu ya hiki kibarua?
Ndiyo nenda kwao, itakuwa heshima zaidi kwa wazazi na wewe.Mkuu nilikuwa sipiti binti anajitambua sana tu kwaiyo niwawai wazazi sindio kabla hawajaja chuoni sindio?
Sema hilo la binti kujitambua unatupiga, acha nyege mshindo dogo!Mkuu nilikuwa sipiti binti anajitambua sana tu kwaiyo niwawai wazazi sindio kabla hawajaja chuoni sindio?