Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000

Polee mkuu mechi za mwanzo mwanzo huwa hazitabiriki sana
 
Hii ni kahawa

Yan ubet 1,724,000 kwa odds 1.08 acha kutuokota mkuu yani upate faidi 100k ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Odds zilikuwa hivyo maana yake ulitaka upate sh ngapi baada ya kuweka hiyo stake ya 1,724,000?
1,724,000X1.07=1,844,680

Yaani 120,000 ungenunua gari gani wewe kijana acha uongo
 
Ungana na mwezako Mwaki kutoka studio
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ