Mkuu una maanisha ningemuacha??Labani og kwanini hupendi kuficha ujinga wako,
Na hata kama ajira hakuna ndo uwe mjinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli, walio karibu wakufunge kamba wakuwahishe hospitaliHabari Wakuu,
Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza kukasirika sana but nimevumilia sana.
Jana baada ya makolo kufurushwa nimemkuta amenuna na kupika hataki [emoji23][emoji23], nikaona huu ni ujinga. Yaani ukolo wako unitese mimi? Nimetimua kwao, now simu zinaita ukweni then nitazi-block kabisa
NB: Vipi wakuu kwa mujibu wa rage kuhusu makolo, nimekosea?
View attachment 2792214
kwa nini mkuuHaiwezi tokea mkuu
Daaah.....😅😅😅😅😅Labani og kwanini hupendi kuficha ujinga wako,
Na hata kama ajira hakuna ndo uwe mjinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenichukiza hii mkuu .....kolo ana timu mbovu wakifungwa Wananunadaaaah ww fala kidogo nikutukane ,,,,nimesoma huu uzi hadi nikacheka aisee
watu pembeni wakaona tabasamu langu wakati nina historia ya kutotabasamu kabisa niwapo kibaruani
Huyu Fala yeye daily ni ushabiki wa mpira tu.. sijui anaishi kwa shemeji yake.Labani og kwanini hupendi kuficha ujinga wako,
Na hata kama ajira hakuna ndo uwe mjinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mophology ya kichwa chako tu kinabainisha kuna kitu kwako kimecheza aka dishi limecheza kiduchu ujue! Kama vp wahi milembe mapema.Habari Wakuu,
Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza kukasirika sana but nimevumilia sana.
Jana baada ya makolo kufurushwa nimemkuta amenuna na kupika hataki [emoji23][emoji23], nikaona huu ni ujinga. Yaani ukolo wako unitese mimi? Nimetimua kwao, now simu zinaita ukweni then nitazi-block kabisa
NB: Vipi wakuu kwa mujibu wa rage kuhusu makolo, nimekosea?
View attachment 2792214
Ndugu zangu hawa[emoji23]Labani og unawapelekea moto Makolokolo SC fans balaa.
Wakisimama nchale.
Wakikaa nchale.
Wakiinama nchale.
Wakichuchumaa nchale.
Wakijifanya kujikuna nchale.
Wakinuna nchale.
Bado hawajasema, lazima waseme tu [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app