Nimempa tunda ‘mubaba’, sasa yamenikuta

Fine Wine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
595
Reaction score
1,686
Mi nimekoma..UMALAYA UMALAYA UMALAYA UMALAYA
utatuua.

Basi mi nilikuwa nafanya kazi kwenye stationary ya mtu na hapo stationary kuna M-Pesa. Basi kuna mubaba akawa anakuja kutoa hela mara atoe laki 7 mara laki 4 yaani haipiti siku mbili anakuja. Baadae akaanza kuniachia elfu tano elfu kumi kuwa ni keep change[emoji849][emoji849]mara aseme mabinti nyie mnahitaji matunzo sana.

Sasa na mimi na kichwa changu kama koleo iliyovunjika si nikaona hapa ndo penyewe maana nilisikia wababa wanatunza nikaona weee lazima na mimi nimiliki I phone ata I phone 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basii NIKAWA najichekesha kama fisi. Akaongeza maokoto mara aniachie afu ishirini basii mi nakenuka tu limdomo.

Basii mubaba akanitongoza nikakubali, tukaenda kama mwezi anipa maokoto tu. Si akasema hawezi kuendelea kuweka pesa kwenye benki iliyofungwa[emoji1787][emoji1787], nikaona kwani nini ngoja nimpe kadudu.

Basii siku hiyo nikaenda kununua vipipi utamu na urimbo maana nilisikia hivo vitu ni fire. Nawaambia nikatumia, basi nikakutana na yule mbaba nilidinywa hadi kitu ikawa inawaka kama volcano mzee yule ule sio mguu wa mtoto ni mguu wa kikongwe; mweusi umekomaa sasa ikisimama kama mstimu mpya.

Baada ya kutoka pale shogaenu nawashwa kwenye k hadi najikunia mswaki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]yaani nasugua kama nasugua meno. Nimeenda hospital wamesema fangasi nimejibu lakini wapi nae yule mzee anasema kadudu kanamuuma kama kamevunjika tangu akutane na mimi[emoji24][emoji24]mie ndo niko hoi KWA muwasho.

Naombeni dawa ya asili nyie, kitaoza kidudu mwenzenu nishindwe kudinyana.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwa MAELEZO zaidi:

 
Polee
Usijikune na mswaki
Usifanye mapenzi hadi hio hali iishe
Usipanic, sio tatizo kubwa sana, inawatokea mabinti wengi hio shida.
Hio part ya story yako ulivoenda hospital ebu iweke vizur, haieleweki
Ndo mara yako ya kwanza hio hali kukutokea?
 
Polee
Usijikune na mswaki
Usifanye mapenzi hadi hio hali iishe
Usipanic, sio tatizo kubwa sana, inawatokea mabinti wengi hio shida.
Hio part ya story yako ulivoenda hospital ebu iweke vizur, haieleweki
Ndo mara yako ya kwanza hio hali kukutokea?

[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…