Nimempa ujauzito mwanamke nisiyempenda!


watu km nyinyi ndio mnafanya ili jukwaa linaonekana nila ma-great thinkers.bro keep it up,wewe ni think tank,ni vile tu natumia simu ningekugongea like.
 
watu km nyinyi ndio mnafanya ili jukwaa linaonekana nila ma-great thinkers.bro keep it up,wewe ni think tank,ni vile tu natumia simu ningekugongea like.

Nashukuru sana kwa ushauri wenu,mimi ni member mzoefu hapa jf,nina id ingne mara zote ckuwa mdau wa MMU,lakini ktk hili mmenishauri vema,ntaendelea kuwapa updates kuhusu jambo hili,ujauzito una miezi 3 sasa,sijamwambia yeyote zaidi ya rafiki yangu daktari.nasubiri kupata ujasiri wa kulipua boom!
 

sijui unaelewa!huyu binti afya alishacheki na sikuwa na shaka na hilo,condom nilitumia lakn alikuwa ana resist,ckujua mwanzo lakn alinizd ujanja coz alijua anataka nini kwangu!nlikuja kustuka baadaye nikahs tayari nimeingzwa mkenge,i was weak to fall on her trap,mambo mengne hayazungumzki lakn nina uhakika alikusudia kushika ujauzito!keshanifanyia vituko vingi nimetulia,na Mungu ananiona kwa hili sitaweza kumwoa maisha!
 
Yeye anaona sasa kanipata kwa hilo!siwezi kufanya abortion ila over my dead body she will regret her decision to force this damned r'tnshp!i think i hate her sana!
 

then lea mwanao, na umwambie ukweli msichana unayempenda, maana mwisho wa siku lazima ataambiwa ukweli, omba Mungu akuelewe, na jiandae kupata kadhia toka kwz huyo mwenye mimba yako.....

Next time jali afya yako na chunga penzi lako, shinda udhaifu wa mwili.

Nakutakia malezi mema, baba kijacho....
 
mi cha kukushauri ni kwamba ukome uzinzi cku nyngne ukiwa na hamu kapige nyeto co kuharbu maisha ya watoto wa wenzako pumbavu. Ushamtia mimba hlf unataka kumtelekeza hapo chukua mama na mtoto wake ukae nao uwalelee wote uclete ujinga wako. Jitu zima akili za kuazima hovyoo mi umeniboa kweli kumtia mtoto wa watu mimba hlf unajishau humpendi.
 
Wewe umekoma, uzizni upo tu hauwezi kuukwepa ukikukabili mshauri afanye nn maana alichofanya yeye vijana wengi tu mnafanya
 

Akili wewe huna!wakati mwenyewe kafurahia kupata mimba,mi ndio nipo kwenye sekeseke!
Usidakie posts bila kuelewa,hivi unajua jinsi baadhi wanawake walivyo washenzi.
 
kwani shida ni nini? mwache na mimba yake, akijifungua utalea mtoto na humuoi... mwisho wa hadithi
 
Si umesema huwezi kumpenda kamwe!
Wewe una mchumba halafu unatembea na Mdada mwingine, sijui maana ya mchumba ni nini?


Watu kama hawa ndo wanachafua jamii, inaonyesha hata katika ndoa yake hawezi kua muaminifu.
 

Hata mimi sijamuelewa, kategewa demu kashika mimba. Halafu wakati huo huo alikuwa anataka kuzaa nae!!!!!
 
umeona ee kaunga tamaa itatumaliza wanaume wa tanzania kwa nini ufanye mapenzi na mtu usie mpenda ? nno lenyewe mapenzi mapendo how comes
 
kuna kadalili ka mtu kutaka kukimbia majukumu hapa,..shindwa na ulegee nyie ndio mnatujazia watoto wa mitaani kwa kutowajibika kwenu.
 

Upende usipende, kila tendo la ndoa likifanyika, uwezekano wa mimba kupatikana upo hata kama kinga ikitumiwa. Kinga haziondoi uwezekano wa mimba kupatikana, zinafanya uwezekano upungue tu, ni vitu tofauti kabisa. Kwa hiyo, namna unavyomlaumu dada yule, sifikiri ni sawa. Unaongea kama eti ni kosa lake kabisa wakati ilibidi usifanye tendo la ndoa naye in the first place kama hukuwa na mapenzi kwake wala tamaa ya kuzaa naye. Know that you are at fault too.

Kiukweli, visa kama hivi vinanifanya nisikie frustration kubwa, wapo watu wengi mno wenye ile mentality ya kutenda bila kuzingatia matokeo matendo wanayotenda yaweza kusababisha wakati matokeo yale wanyajua na hawayataki.

But anyway… nami nadhani ni bora ufuate ushauri wa salito. I wish you a lot of good luck for the future!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…