Nimempata ninayempenda

Nimempata ninayempenda

pakesi

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
532
Reaction score
95
Ndugu zangu wana jamvi
Hivi karibuni nitakuja kitangaza ndoa yangu hapa na naomba maombi yenu maana nimeteseka sana kumpata!
Naomba kuwasilisha ...............!
 
^^
Hongera sana.. Hebu sema umempata humu humu JF na mimi niweke tangazo?
^^
 
Ndugu zangu wana jamvi
Hivi karibuni nitakuja kitangaza ndoa yangu hapa na naomba maombi yenu maana nimeteseka sana kumpata!
Naomba kuwasilisha ...............!


Hongera kwa kuvumilia mateso hadi kumpata; nakutia moyo uwe mvumilivu hivyo hivyo hata kwenye ndoa. Malalamiko hatutayafurahia hata kidogo maana elimu na mafunzo yote ya ndoa uliyoyapata humu naamini umekwiva. Mungu akutangulie.
 
Hongera sana mkuu...Mungu awe nanyi wewe na huyo mchumba wako.
 
Hongera sana, hamna kitu kizuri kama kumpata uliyemtaka :smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom