Masika mtu wa kati sana nini? Ok mi nawatakiwa wote kila la heri na mfanikiwe kile mnachoenda kufanya. Ila mafanikio tutayajuaje? Mabadiliko hayo tutaona kwake au kwako?