Nimempenda Msichana wakati nimeshaoa.

kama nikipindi cha makuzi uko katika kipindi cha balehe kila mmoja ammeanza kuonyesha tabia yake halisi mpaka mje mkopu ni miaka mitano mpaka kumi ndoa nyingi zinakufa kati ya miaka 2-4 kama ustamilivu hautakuwepo kumbuka hilo ndilo chagulo lako la awali kama hukushikizwa au kushawishiwa na mtu yeyete ndoa nimaagano yanyotoka moyoni na ndiyo maana unashirikisha wazazi ndugu na jamaa huyo unayetoka naye hajulikani angalia uje mwacha mkeo kwa kutema biggii kwa kunjeshwa karanga
 

nipatie namba ya simu ya mkeo nitaarifu kuwa leo unaenda kula raha duniani! then atajilekebisha naye atakupatia hamu mpaka basi!
 
kuna wengine wanapenda wake zao lakini wake zao hawawapendi, nyie mnapendwa na wake zenu bado unatafuta huku nje eh
 

Naomba namba ya mkeo namtamanikusaidie kazi, namtamani sana mkeo....
 
kaazi kweli kweli,ningekuwa mie muislamu nisingekubali kuletewa mke wa pili,kwa kuniona mie nini gogo au?akileta na mie naleta tupractise open marriage...................................hakuna mwanamke anayempenda mumewe akubali kuletewa mke wa pili,ukiona kakubali basi ujue hana pa kwenda i mean yuko kimaslahi zaidi........................na huu ni unyanyasaji,wanawake wazuri wanazaliwa kila kukicha nani kakwambia watabaki hao wanne uliooa????why limitation kama mnaoa kisa mmeona wazuri zaidi,wakiwa wanne ndio wengine hawatazaliwa au?
 
Uzinzi tu huna lolote, mi nachukia mijanaume ya hiv miaka mitatau tu huna hamu na mkeo? looh sasa ulimuoa vipi
aya basi kama dini inaruhusu oa mkeo wa pili huyo dada tuone kama uaweza kumpenda kama sasa au pepo tu la uzinzi ambalo unaliendekeza. kama dini hairusu jitaidi heshimu ndoa yako kemea pepo ilo.
 

Asabaya kama ulikuwepo akilini kwangu yaani mi huwa ndo nataka kupasuka kwa hasira.wananiudhi
 
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili

asigwa hii imenichekesha balaa! Mtoa maada, how about adding her to your family as missus # 2 kama dini yako inakuruhusu? Otherwise, chagua mmoja and spare the other unnecessary magonjwa!
 

njoo kwenye nuru (UISLAM) toka kwenye kiza HUKU KWETU PAZURI HUITAJI KUFANYA ZINAA UNARUHUSIWA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NA MWISHO WA KIKOMO NI WANNE.WAHI HUJACHELEWA
 
@Barbanas umenikumbusha kwaya ya Ulyankulu-Tabora..
 
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili


Wazinzi bwana utawajua tu!
 
[MENTION]
Shekhe Gorogosi Jr[/MENTION]

mshahara wa dhambi ni mauti......Roman 6:23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…