Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
huyo mdada anafahamu kama unamke?
huyo mdada anafahamu kama unamke?
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili
umenena mkuu, unakuta nyumbani haupewi kiasi cha kukidhi kiu yako,au fujo kila siku,mdada yeye ukiwa nae anakupa mpaka unasema basi tena kwa roho safi.cha msingi hapo ni kutokusahau home.watoto waende shule,wale vzuri na kuvaa vzuri.mamayao pia usimsahau.
du kama ndoa zenyewe ndio hizi,ni bora uwe mwenyewe tu
Unayajua mapenzi yalivyo na nguvu?Huwezi kuwahudumia mabwana wawili,lazima utampendelea mmoja."You can choose your actions but you can not choose the consequences of your actions".
Wadada/wamama ni kweli hamuwezi kuserve two masters?@Crucial Man experience zinaonyesha wanume si wazuri ktk kucheat ukilinganisha na wanawake,I mean wanagundulika mapema.Ngoja tuwasikie wanasemaje.sio kweli,watu wangapi tumewaona wana familia zao na wanawahudumia fresh tu,tena mama kubwa anakuwa ajui.with men we can but wanawake hawawezi ku serve two masters.
lazima amekuwekea silangambe lakini si wewe pekee ipo mijianaume dizaini hiyo mingi tu , ila kwani when you were marrying that wife of yours she was all you wanted isn't ? asa unajiendekeza ohh shetani alinipitia wakati mwingine mnamsingizia shetani kwani ukiamua kumuescape itakwaje eeh acha hizo bana tulia na wako sikia kengele HAKI ELIMU ,usiendekeze ngono utaumia ohh by the way DID YOU KNOW GOD IS ALSO THERE WATCHING YOU DOING SEX WITH THAT GAL WHO ISN'T UR WIFE ? you don't feel guilty kabsaa? afu ukifika home mke wangu nakupenda Ee Mungu wamulike hawa viumbe wote wa wanaume kwa wanawake manake hiki ni kizazi cha ngono watu gulity consicous ilishakufa zamani kila wanachofanya wanaona ni sawa tu . waga unasali na mkeo lakini ? manake nayo huwa inasaidia kumuepuka huyo shetani ambae sometimes mnamsingiziaMimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
dahkaka acha tamaa, kila kizuri uwe nacho wewe tu?hapo ungefanyiwa wewe ungependa? mwanaume wa ukweli hawezi ati akamchoka mkewe kwa 3yrs! wewe inaonekana bado hujamaliza starehe zako na ukaingia kiherehere cha kuoa..au ulifuata mkumbo! kumbuka hapo unapomega huyo dada mkeo hakuoni na wewe unajiona mjanja, kumbuka kila wakati kuwa MUNGU WAKO ANAKUONA na anakuandalia balaa lako huko....kaa chini, jifikirie sana na kumbuka kuwa duniani hapa tunapita na starehe ndio zinazidi kuwa mpya kila kukicha...acha tamaa tulia na mkeo na utubu! huna hata haya kuleta tamaa zako hapa!
hivi ok sawa kweli hivi unapooa mke wa pili ni ishara kwamba mke wa kwanza ana weakness flani si ndio , afu mke mkubwa anajisikiaje atii dah mii moyo wangu mdogo kama sisimizi nahisi ntakufa uwiii Sheikh tulia na mkeo please usijiendekeze banaMie mwanaume hasa akisema mambo kama hayo ananichefua roho yangu!! kama uwezo unaruhusu na dini inaruhusu sasa unaiba nini au ushazowea vyakunyoga wewe vyakuchinja huviwezi? inaonyesha bwana weye uzinzi unauendekeza lakini kumbuka kua ulie muoa nae pia ni mtoto wawatu A .K. A. Mkeo jee akifanyiwa mwanao wakike hayo unayo yafanya wewe utapendelea?
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
umenena mkuu, unakuta nyumbani haupewi kiasi cha kukidhi kiu yako,au fujo kila siku,mdada yeye ukiwa nae anakupa mpaka unasema basi tena kwa roho safi.cha msingi hapo ni kutokusahau home.watoto waende shule,wale vzuri na kuvaa vzuri.mamayao pia usimsahau.