Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
<br />Judith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.<br />
Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.<br />
Leo anajitegemea na anajimudu, swali langu kwenu je mahari nipelele wapi kwani sio heshima binti kuolewa bila ya kutolewa mahari.
Judith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.
Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.
Leo anajitegemea na anajimudu, swali langu kwenu je mahari nipelele wapi kwani sio heshima binti kuolewa bila ya kutolewa mahari.
Kwanza nikupongeze kwa hatua uliyofikia ya kukubali kuanza maisha na mwnamke ambae ni yatima, ambae hata wazazi na ndugu zake hawawajui, wengi wlishindwa hivo kwa kuhofia watoto watakuwa hawawajui upande wa mke na kuishia kuoana na ndugu zao, kwa swala la mahari please peleka palepale kwa wamama wa kituo cha kulelea yatima alicholelewa na pia mkimaliza taratibu kwenye ndoa wale wamama ndio waje kuhudhuria kama wazaziJudith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.
Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.
Leo anajitegemea na anajimudu, swali langu kwenu je mahari nipelele wapi kwani sio heshima binti kuolewa bila ya kutolewa mahari.
Yaani umeona wao wanashida sana ee ngoja waibuke wenyewe mie simoHiyo mahari mpelekee aspirin na teamo watajua nini cha kufanya.
Kwa kweli leo siku yetu tungekuwa tunaweza tungekutana mahala ku celebrate lakini humu haiwezekaniwaooooo!!! leo siku yangu imekuwa nzuri sana kwa habari hii!!
tafadhali usininyime kadi ya mwaliko, mahari huwa mwanamke mwenyewe ndio anasema, hivyo bibie atakueleza pa kuipeleka!!
waooooo!!! leo siku yangu imekuwa nzuri sana kwa habari hii!!
tafadhali usininyime kadi ya mwaliko, mahari huwa mwanamke mwenyewe ndio anasema, hivyo bibie atakueleza pa kuipeleka!!
kuna mijitu inapenda vya bure, kisa cha kumfuata mtoto yatima ni kutaka kukwepa kulipa mahari
Bujiiiiiiiiiii!!! kwani hawa hawana ya kuolewa na watu wenye proper family? hakuna bwana zali limemuangukia acha aolewe na mahari itapelekwa hukohukokuna mijitu inapenda vya bure, kisa cha kumfuata mtoto yatima ni kutaka kukwepa kulipa mahari
Bujiiiiiiiiiii!!! kwani hawa hawana ya kuolewa na watu wenye proper family? hakuna bwana zali limemuangukia acha aolewe na mahari itapelekwa hukohuko
Hiyo mahari mpelekee aspirin na teamo watajua nini cha kufanya.
are you serious?
Naunga mkono maneno yako....! Mahari ni haki ya muolewaji.mahari mpe judith maana ye ndo anaenda kuolewa na kuitumikia ndoa. Akipenda kuwagawia kidogo wale waliomlea ni vizuri au akiamua aitafune yote mwenyewe ni vizuri pia. Binafsi huwa nawashangaa wazazi wanaokomalia wapewe mahari kama vile wao ndo wanaenda kuolewa. Mzazi kazi yake ni kutoa ruksa binti akaolewe basi.