samahani kama nimewakwaza: Hivi Da Sophy yuko wapi?
haya tutakutana kesho KENYATTA kwenye mbio za mbuzi basi............
Jamani hivi ametajwa apendwaye humu? Maana uzi umekuwa mrefu sana siwezianza mwanzo!
Hivi M ni lini wataanzisha mbio za samaki?
Eti nini? au nahitaji miwani siku hizi? Mie sihitaji ulinzi shirikishi wala polisi jamii.Mbona wanaka kunitesa mtoto wa mwanaume mwendhio????Kajukuu usijali, ushapata bibi wa pili.
Nadhani nimeeleweka hapo............
ni mchana wa ijumaaa, mie akili yangu huwa haiwezi kabisaa kufikiri wala kusoma ktkt ya mistari.....
Eti nini? au nahitaji miwani siku hizi? Mie sihitaji ulinzi shirikishi wala polisi jamii.Mbona wanaka kunitesa mtoto wa mwanaume mwendhio????
bht,Nakaribia kufanya maamuzi ya hatari........ si muda mrefu
Eti nini? au nahitaji miwani siku hizi? Mie sihitaji ulinzi shirikishi wala polisi jamii.Mbona wanaka kunitesa mtoto wa mwanaume mwendhio????
bht,Nakaribia kufanya maamuzi ya hatari........ si muda mrefu
Poor me!
Natangaza kuachana na maji yenye alkoholi LOL! Nisamehe na mahangover yangu mchumba! I thought ushaanza wikiendi.
Nimekusamehe,Lakini unanipagawisha namna hiyo! Utajanikosa siku moja hivihivi.Poor me!
Natangaza kuachana na maji yenye alkoholi LOL! Nisamehe na mahangover yangu mchumba! I thought ushaanza wikiendi.
Basi mbichwa umenivimba huo! LOL!Nimekusamehe,Lakini unanipagawisha namna hiyo! Utajanikosa siku moja hivihivi.
Nilishaanza mchakato wa KUTANGAZA NIA kwa msaada wa GS...................
Luv u Xpin ,Nmwaaaaaaaaa,nmwaaaaaaaa,nmwaaaaaaa!!!!!!
kujiamini hakumalizi wivu bidada jamani
yaani hiyo ngoja ni kwamba naongeza manjonjo ili mume wangu asitetereke!!! huyu GS haniwezi nakwambia!!!!
Imebidi nianze kusoma kuanzia page ya kwanza ili kupata picha ya nini hasa kimekuwa kukijadiliwa au kuzungumzwa maana leo nilidandia kuanzia page ya 17.
Naweza kusema Mambo kadha wa Kadha
1: GS ni (Mdada/Mkaka) Jasiri sana kwa maana pasi kujua kama huyo Mkaka/Mdada aliyemizmia ni (Mke/Mume) wa Mtu ameelezea namna anavyomfeel. Naomba kumpongeza (Mdada/Mkaka) aliyepata bahati hii Maana naweza sema kwamba ametunukiwa jambo la pekee sana na GS yaani kuambiwa unazimikiwa mbele ya members zaidi ya 17,000 ni Jambo la Pekee sana.
2: Kwa huyo Mdada/Mkaka ( namaanisha alyezimikiwa) ningependa awe muwazi kwa GS kama ameoa au ameolewa asije akachukulia hii nafasi adhimu kabisa kumharibia au kum dissappoint GS.
3: Ningependa kumuomba GS akubali matokeo yeyote kama huyo Binti/kaka atakuwa ameolowa/ameoa basi lazima akubali kwamba kisicho Rizki Hakiliki na waendelee kuwa Normal friends
4: Mwisho kabisa napenda kusema kwamba Idumu JF na Mungu awape waanzilishi wake Afya tele
Ha ha ha!Bala hajiniona tayari kanizimikia akinione je,si........Unafikiri manjonjo ni hoja?Jitahidi kukuzana ukifanya mchezo....
ahaaaa umepigia mstari mashaka yangu eeh!!! haya jitahidi GS ila nakuhakikishia mimi ndo awali yake n akahuna wali liyo mbaya!!!!!
atarudi tu kwangu, huko atatafuta apetite lakini msosi home.................
Mamushka nivae mawani yangu nisome hapo?
usivae nawee!! mbona ulivosoma ndo hivo hivo Pako!!!!!
haya mbio za samaki wapi na lini...............
mie na maji wapi na wapi jamani???Tatizo refarii M. Unaweza saidia hapo?
Kwa kweli naamini suala la GS linatugusa watu wengi humu na linawakilisha kwa namna moja au nyingine utata ambao baadhi ya watu wamejikuta wanao. Ni utata ule ule wa maisha wa kuona mtu mnakutana kwenye daladala kila siku na unamzimikia au umemuona mara moja mahali akakuachia tabasamu na ungependa kumjua. Hiki kilikuwa kinaitwa "penzi la ghafla" na msingi wake nadhani uko ndani sana ya mioyo ya watu kwani hauna maelezo ya kisayansi ya kwanini mtu anaweza kumdondokea mtu ambaye amemuona mara moja tu au kumuona kwa picha au kukutana msibani au kwenye sherehe fulani.
Ni sehemu ya safari hii hii ya maisha. Sijui kama watu mnakumbuka ila movie ya "Unfaithful" ya Richarde Gere.. By accident sometimes we fall hard na hatuwezi kuridhika hadi itokee japo mara moja tu kuwa mikononi mwa huyo nyonda!
ahaaaa umepigia mstari mashaka yangu eeh!!! haya jitahidi GS ila nakuhakikishia mimi ndo awali yake n akahuna wali liyo mbaya!!!!!
atarudi tu kwangu, huko atatafuta apetite lakini msosi home.................