mwalimally
Member
- Apr 23, 2010
- 21
- 1
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

Ama kweli JF kiboko.
Siku zote nilikuwa najua GS ni mwanaume! Imekula kwangu!
mueleze ajue...kwani mmekutana nae wapi?
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
Nadhani kakutana naye hapa JF(kama sikosei).......sijui ndo matunda ya PM/JF Chart ama??;
"Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani."
inawezekana, sasa hapa tumebakia kuhisi ni nani huyo...ila hisia za babukijana hazipishani sana na za kwangu....
nahisi huyu ni Balantanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..
nahisi huyu ni Balatanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..
Hahaaaaaaaaaaa..........lol.....dada yangu wewe.Mimi tayari nimeoa(bht) na nampenda sana mke wangu........Huyu ni Mwanakijiji i think

Mwanakijiji kasema anaogopa kumfia mtu kifuani; kwa hiyo kama ni mwanakijiji basi nashauri tukaanze kuchambua siasa na uchumi na sie!
Kwani inakatazwa kuoa mke wa pili?
BTW: Mi nilidhani GS ni dume la shoka! What a turn!!
inawezekana, sasa hapa tumebakia kuhisi ni nani huyo...ila hisia za babukijana hazipishani sana na za kwangu....
Ama kweli JF kiboko. Siku zote nilikuwa najua GS ni mwanaume! Imekula kwangu!
Nabaki natumbua mimacho tu!hivi eeeh....sasa itakuwaje?
Kazi ipo.Lakini mwambie ukweli japokuwa ni ngumu kiasi.Ila sijajua kama umemuona/umekutana nae wapi.Ni hapa JF au huwa unamuona kwenye TV(CNN,BBC)?