hahaha nimecheka kweli, yaani mtu kasema mchambuzi wa mambo ya kisiasa basi mnanibebesha mimi mzigo; mkivunja ndoa yangu I will neva forgive you.. !
Babu kijana.Give me a break!can someone fall in love kupitia Avatar ya Mwanakijiji I dont think so.Kibabu chenye fimbo kina mvuto gani?lol..Toa ushauri basi..
Amekutana naye kwa macho tu kwenye TV. Ila ana kazi ngumu kumpata!
Nabaki natumbua mimacho tu!
Machale yananicheza sasa unaweza kuta Preta ni bonge la jibaba! Hii ndio JF bana!
ha ha ha...haiwezekani watu zaidi ya watatu tuhisi kitu kimoja...mimi nilivyosoma tu mawazo yangu yalinipeleka kwako hata kabla sijaona post ya babukijana...he he he at last JF tuna harusi inakuja
Preta unajitafutia kesi za bure.MMK ni mume wa mtu,unataka kuvunja ndoa?
hivi eeh...hebu ngoja athibitishe mwenyewe
sasa nithibitishaje tena.. niweke wedding fotos!? nimeshazabwa vibao vya kutosha kutokana na comments za watu humu!! sasa naona hii inataka kwenda mbele zaidi
sasa nithibitishaje tena.. niweke wedding fotos!? nimeshazabwa vibao vya kutosha kutokana na comments za watu humu!! sasa naona hii inataka kwenda mbele zaidi
ok basi tumsubiri mwenye mahaba aje atudokeze ni nani amemdondokea....ila najitahidi kufikiria ni nani huyo mchambuzi yakinifu wa siasa, uchumi nk....:confused2:

Dah tatizo la GS haeleweki vizuri maana mi sijui kwamba ni SHE/He maana ukimuita She anagonga thanx ivyo ivyo ukimwita HE angonga thanx!!Babu niliposoma tu topic na jina la mbandikaji nika-conclude ni wewe na sababu ya kufanya hivyo ninayo!!!!
nahisi huyu ni Balatanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..
hahaa bado unasubiri dokezo wakwetu?? mi nshapigia mstari maana my memory can still recall very well kauli ya GS humu humu kuhusu huyu huyu MMK!!!!
mamaa mume mchungu tafadhal sana dearest matron!!!!! usinirushe rorho mwenzio!!!!
lakini amekataa hiyo tunu...kuna kazi kweli kweli...nimejaribu kufanya fikirio la pili nikampata ndege ya uchumi lakini bado akili inakataa