Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

Nijuavyo mie hakuna sheria inayokataza kufall na mwanafunzi as long as huna somo unalomfundisha directly na pia usijaribu kuinfluence mafanikio yake shuleni isipokuwa kwa njia ya ushauri tu. Kama ni mwanafunzi ambaye yuko darasani mwako tafuta njia ya kuwa objective kadri uwezavyo (ikiwezekana omba kubadilishiwa darasa - kama walimu wengine wapo)

Baada ya hapo anza kwa kum-mould, uwe unamshauri (ila isipitilize) katika masomo pasipo kuonyesha nia yako kimapenzi. jenga urafiki naye wa kawaida kama mwalimu mshauri. A
 
Ha ha ha karibu kwenye chama cha kuoa wanafunzi...By the way huyo ni Mwanachuo bwana sio Mwanafunzi
 
Kijana mbona unataka kucheza na akili za watu? Wewe si ulikuwa unatafuta kazi FINCA, wakakukataa? Mara umeshakuwa Mwalimu wa chuo na kuanzaa kutongoza wanafunzi wako? Huh, JF kuna viroja
 
Kijana mbona unataka kucheza na akili za watu? Wewe si ulikuwa unatafuta kazi FINCA, wakakukataa? Mara umeshakuwa Mwalimu wa chuo na kuanzaa kutongoza wanafunzi wako? Huh, JF kuna viroja

we kweli *****, wapi nimesema nimetongoza mwanafunzi? Kukosa kazi finca kuna uhusiano gani na kuwa mwalimu wa chuo?
 
acha kazi, tongoza juu kwa juu oa weka ndani.....kwisha!
 
Mwalimu tafadhari usituharibie watoto, lakini endapo mmekubaliana mpe muda kama unampenda kweli, amalize masomo mwende kwa wazazi wake na kwenu muweke mambo sawa then fungeni harusi!!! Hapo Mwl Hakuna ubaya wowote lakini usimchanganye wakati anasoma!!!!

Nipe nur yake nikutongozee!!
 
Kijana mbona unataka kucheza na akili za watu? Wewe si ulikuwa unatafuta kazi FINCA, wakakukataa? Mara umeshakuwa Mwalimu wa chuo na kuanzaa kutongoza wanafunzi wako? Huh, JF kuna viroja

heheeiya.......
 
wewe umesoma mpka umehitimu ualimu, kilichobaki unazengea mwanafunzi wako muache mtoto wa watu asome ili nae aje ahetimu awe mtu fulani sio mwanafunzi tena then ufuate.
 
wewe umesoma mpka umehitimu ualimu, kilichobaki unazengea mwanafunzi wako muache mtoto wa watu asome ili nae aje ahetimu awe mtu fulani sio mwanafunzi tena then ufuate.

sijasomea ualimu mkuu
 
Tupa Ndoano tu,, Mfanye rafiki then ukimsoma mwambie Funuka usisiste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…