Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje


Unaogopa kutongoza sasa unataka utongozwe?
 
Kwa sababu yuko semister ya mwisho sasa, sema nae live, muite uongee nae na umwambie lengo lako ni nini hasa isije ikawa ni kutaka kumchezea tu, na kwasababu ana miaka 20-23 ni mtu mzima huyo nae atafunguka tu
 

Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Chapa baba huyo, hiyo ni chakula yako!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…