Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema