Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
umekosea sana kuondoka kwenye mila yako iliyokukuza na kukufanya uoe wake 4 sasa,nenda kwa huyo kiongozi wa dini aliyekubatiza na mwambie hii shida yako ili akupe ufumbuziWadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Mimi nina wasi wasi kwa akili zako hizi huwezi kumudu wake wa nne, acha kutupiga kamba mkuu, lengo lako sijui ni lipi? Unajua mwenyewe.Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
NdiyoHao wamekubatiza walijua una wake wanne kabla?
Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Huyo jamaa either ni computer bot ama zwazwa fulani hivi, huwezi kuelewa hata siku moja.Mimi nina wasi wasi kwa akili zako hizi huwezi kumudu wake wa nne, acha kutupiga kamba mkuu, lengo lako sijui ni lipi? Unajua mwenyewe.