Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?


Halfu nashangaa maswali tunayomuuliza hajajibu hata moja anakimbia hoja au ndio uoga wa kujibu hoja kwakuwa anajijua ana makosa
 
Halfu nashangaa maswali tunayomuuliza hajajibu hata moja anakimbia hoja au ndio uoga wa kujibu hoja kwakuwa anajijua ana makosa
Huenda alibanjuliwa kotekote, tena kwa kusahau "HAPANA".....
 
Ushageuka jamvi.....
nakushauri usepe... hayo machozi yakikauka...utakutwa ck moja kichwa kimetengana na mwili...!! bora ungechakachuliwa na mtu mwingine ila c rafikie....!!
 
.


Huna haya mwanamke. Unajuwa wanawake huwamtunatakiwa tuwe na haya, umetuhaibisha sana cc wanawake, bora kama kungekuwa NA JUKWAA LA WANAWAKE PEKE YETU, SASA WABABA WAMEONA KWAMBA WANAWAKE HUWA TUNAFANYA HUU UCHAFU LOH!!!! SASA HAPA UNAOMBA USHAURI AU UNAJISIFIA KWA HAYO MATENDO YAKO YA KIFEDHULU ULIYOFANYA AIBU!!!!!
 

mambo vipi Safina?jina hilo lanikumbusha mbali sana!!!!!
 
Ukitoa roho ya mtu utaomba msamaha au utafurahia..................wewe ulidhamiria kufanya ivyo sasa unajilaumu nini..
 
unajutia??? that ur habit gal, carry on!
 
????????????
Kwani ni uchi wa nani umeanikwa na kudhalilishwa?
Nani kakojolewa?
Nani kapekechwa?
Uvundo na maharufu ya nani yamebainika?

Bila shaka ni wewe na uchi wako..... Aidha, ningekuwa huyo jamaa ningefanya kama ifuatavyo;

  1. Sitakusememsha wala kukugombeza....
  2. Nitaendelea kukuchakachua hadi nitakapompata mwingine, japo kwa uangalifu na kamwe sitasahau kutumia kinga mbili kwa mara moja...
  3. Nitaondoa ubinadamu, na huenda nikakufanya hata tofauti na binadamu anayependwa.....
  4. Mara moja fikira za kuwa nawe daima nitazifuta, tena bila kukutaarifu wala kukuonesha ishara yeyote....
  5. Kila nitakapolala nawe kesho yake kila mtu atajua nilichokiona huko, hata mauchafu yako sina sababu ya kuyahifadhi... maana sina muda wa kuhifadhi siri za mtu asiye hifadhi mwenyewe....
Hapo lazima utambue kuwa hukunikomoa mimi, bali umejikomoa mwenyewe..... na kamwe usidhubutu tena...... Ni ulichokifanya lazima ujutie katika maisha yako yote.... Ni lazima uwahadidhie wanao ukijaaliwa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…