jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 35
Utakuwa una mahusiano ya karibu sana na Sizonje wewe maana hata Sizonje kampima mkojo mtu mwenye kesi ya uchochezi!Salamu wa jf
Nina jirani yangu anampenda sana mkewe anamfanyia kila kitu ambacho kina stahili kwa mke anampa kila kitu kama mume ila mke wake anawivu balaa leo asubuhi mke kamuamshia dude mumewe mpaka majirani wote tumetoka kusikiliza.
Baada ya kwenda kusikiliza eti kuna mdada ana saloon jamaa akirudi kutoka kazini anapenda kumsalimia.
Kaja kwangu nimshauri kwa vituko hivi vya kila siku vya mkewe amfanye nini.
Mimi nimefikiria sana nikawaza na kuwazua nikamwambia jamaa labda ajaribu KUMPIMA MKOJO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana😀mwambie amtie vizuri .. kama kweli kila kitu kinatimizwa vyema
utakuta anastress za nyegeNimecheka sana😀
Maneno matamu sana lakini machungu kuyasikiamwambie amtie vizuri .. kama kweli kila kitu kinatimizwa vyema
ayaseme tuManeno matamu sana lakini machungu kuyasikia
utamu wa asilinyege ndio mavitu gani hayo na yanakaa wapi ?
sio ndo anatiwa vzr mpaka anaogopa wenzake wasije kushare nae dyu dyumwambie amtie vizuri .. kama kweli kila kitu kinatimizwa vyema
hapana anamgusa gusa ndiyo maana anahisi kuna mtu anakunwa vyemasio ndo anatiwa vzr mpaka anaogopa wenzake wasije kushare nae dyu dyu
Sent using Jamii Forums mobile app