Nimemshushia mkong'oto wa hatari mzee kijijini

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuqa wanajamvi!

Nikiwa njiani narudi Ghetto baada ya kumsabai besti wangu flani kijiji jirani nateremka kwenye mteremko wa mamenooo nikakutana na Mzee Abdala anaelekea kwake. Nikamsalimu mzee Shkamoo akanijibu marahaba.

Mara ghafla akaanza kijana subiri kidogo unajua ninavyokuona hivi unanikumbusha enzi za ujana wangu nilisafiri sana Ujerumani, canada, Uingereza Sweden Marekani Denmark yani kote huko nimeacha vima yangu.

Dah nikashtuka nikamuuliza mzee Abdala hii hatari, Je Geographia unajuwa?

Aaah bwana mdogo akanijibu. Jiografia tena? Pale Jiografia nimekaa zaidi ya mwezi mmoja!

Yani kabla hajamaliza nikamuwahi na teke moja kali la kalio wakati bado anashangaa nini kinaendelea nikamsukumizia kwenye korongo flani pembeni na teke la mgongoni.

Malyenge
 
Mzuqa wanajamvi!

Nikiwa njiani narudi Ghetto baada ya kumsabai besti wangu flani kijiji jirani nateremka kwenye mteremko wa mamenooo nikakutana na Mzee Abdala anaelekea kwake. Nikamsalimu mzee Shkamoo akanijibu marahaba.

Mara ghafla akaanza kijana subiri kidogo unajua ninavyokuona hivi unanikumbusha enzi za ujana wangu nilisafiri sana Ujerumani, canada, Uingereza Sweden Marekani Denmark yani kote huko nimeacha vima yangu.

Dah nikashtuka nikamuuliza mzee Abdala hii hatari, Je Geographia unajuwa?

Aaah bwana mdogo akanijibu. Jiografia tena? Pale Jiografia nilikaa zaidi ya mwezi mmoja!

Yani kabla hajamaliza nikamuwahi na teke moja kali la kalio wakati bado anashangaa nini kinaendelea nikamsukumizia kwenye korongo flani pembeni na teke la mgongoni.

Malyenge
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tumbaku na ka barid haka ni noma sana, kana panda fresh sana
 
Back
Top Bottom