Nimemsikia Rais Magufuli akiwaambia walinzi wake "Msiwazuie watu wake, watu wake waacheni waje"

Nimekumbuka mauaji ya archduke Franz Ferdinand na mkewe Sophie june24 1914 Sarajevo Bosnia,

Kama tunakumbuka ilileta taharuki kubwa hadi kupelekea vita ya kwanza ya dunia.

Nchi mwenyeji anajukumu kubwa kuhakikisha ulinzi wa rais mgeni akitua tu kwenye ardhi yako ata walinzi wake hakuna kuwaamini.
 
Duu hii kali sana bado watu wamelewa siasa tu kuna mengine mengi zaidi ya siasa utashindwa kuwasaidia watoto wako kwa hangover za uchaguzi umeisha maisha yanaendelea. Sio kila kitu Chadema Mbowe hovyo kabisa.
 
Hawa walinzi wa Rais wetu Kuna kauweledi Cha intelligence na protocal Wana lack.
Mara nyingi naonaga wakati Rais anasalimia wakati anapoondoka sehemu wanazuia watu wasimpe mkono Rais halafu Rais analazimisha kutoa mkono inakuwa kama ushindani flani Kati ya walinzi na Rais Ila haitoi picha nzuri kwa public mkuu wa PSU afanyie kazi haya mapungufu wakati wa mashiba kulikuwa hakuna haya mambo
 

..hapo wanaogopa CORONA.

..ukiona bwana mkubwa kajichimbia Chato wewe mwananchi wa kawaida chukua tahadhari.
 

..kiongozi wa nje huwa anapewa MPAMBE toka Tanzania.

..vilevile ulinzi unakuwa na ushirikiano kati ya mwenyeji na mgeni.
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
endelea kufikiria
 
Mwenyeji wako ndiyo anahakiksha usalama wako mpaka siku utakayoondoka...

Nchi zenye uwezo mkubwa wa kijeshi na kivita ndiyo pekee hua hawataki ulinzi wa mwenyeji badala yake mambo yote hua chini yao...





Cc: mahondaw
 
Ila mada zingine bana. Sasa hii itakusaidia nini. Dili na mambo yenye tija,
 
Ushauri wangu tu Kwako siku zingine usiamini sana Maelekezo ya Rais bali fuata Utaratibu wa Kiusalama unaopewa na Walinzi wake ili yasikukute.
 
CHADENA ndoo mtaa gani ?
 
Acha Uwongo wako Wewe mbona Marais wa Marekani na China walipozuru Tanzania Walinzi wao ndiyo waliwalinda Kiukaribu mno Marais wetu?
Wewe ni mpuuzi na huna ujualo zaidi ya kupayuka hovyo tu,soma nilichoandika halafu soma na ulichoandika wewe kisha onyesha utofauti uko wapi?

Stress zako za maisha usiniletee mimi mpuuzi wewe,kisha jifundishe kutumia lugha ya staha unapotaka kupingana na mtu kwenye jambo lolote lile.
 
Nyote ni mafalasi na mnasumbuliwa na stress za maisha
 
Obama alipokuja Tanzania ilikuwaje ?
 
Sindano imeshaingia na ndiyo maana sasa unaweweseka. Unadhani Watu wote hapa JF ni Hayawani / Wapumbavu kama ulivyo Kinara wao Wewe?
 
Nashauri msemaji wa serikali aje na kutoa majibu,vinginevyo mnatuchosha na ramli zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…