Nimemsikia Rais Magufuli akiwaambia walinzi wake "Msiwazuie watu wake, watu wake waacheni waje"

Kusikia neno "watu wake" akili yako iliishia kwa walinzi tu! Hukufikiria zaidi ya hapo kweli?
Ujinga mzigo!
 
Shughuli wakikutana AU au SADC ndio mtiti huwepo hasa kipindi kile JK anasafiri sana walikuwa wanagombana kila wakikutana mambo yao protocol huwa wanavunja kuna kukamiana na block entrance Kulipa kisasi mifano mingi subiria waje watupe sirini
 
Kujibu hoja yako zingatia sana kuwa Tanzania ni nchi ya amani, la sivyo haya wala usingeyaona. Protokali kitu kimoja, ulinzi ni kitu kingine. Mwaka 74 au 75 kama sikosei Nyerere na Iddi Amin walihudhuria kikao cha OAU Ethiopia. Iddi Amin na msafara wake wakawa wanamsogea Mwal Nyerere (aliyewahi kufika, amekaa), huku Iddi Amin akimnyoshea mkono Nyerere kama kumsalimia. Mlinzi wa Nyerere akanyanyuka haraka kumsukuma kwa nguvu Iddi Amin (lilikuwa jitu la miraba minne) ikabidi Nyerere amwamrishe Mlinzi wake kwa sauti kali: "Mwache!". Hali ikatulia lakini kukawa mtafaruku protokali ikapita walinzi wa Ethiopia wakaipeleka timu ya Iddi Amin kwingine kabisa. Angekuwa ni Rais Samora Machel au Rais Moi isingekuwa issue.
 
Akija PM wa Uingereza watazuia walinzi wake?
 
Corona ipo si unamuona Jiwe anavyochukua tahadhari.
Your browser is not able to display this video.
 
74 na 75 ulikuwa na umri gani mkuu? samahani
 
Sindano imeshaingia na ndiyo maana sasa unaweweseka. Unadhani Watu wote hapa JF ni Hayawani / Wapumbavu kama ulivyo Kinara wao Wewe?
Binti mbona umeanza lugha za taarabu? safisha nyumba usije achika,jf utaikuta tu.
 
ni mapungufu kikweli, ila naona kila zama na kitabu chake
 
Tunamuombea apate anachoona hakipo na kimfaacho yeye maana ukipuuza utanyewa kiurahisi sana na itabaki story tu
 
Binti mbona umeanza lugha za taarabu? safisha nyumba usije achika,jf utaikuta tu.
Mshamba mkubwa Wewe na najua kabisa kuwa Sindano yangu imekuingia vizuri kabisa. Unataka kutulazimisha tukujue Wewe ni TISS? Pumbavu!
 
Mshamba mkubwa Wewe na najua kabisa kuwa Sindano yangu imekuingia vizuri kabisa. Unataka kutulazimisha tujue Wewe ni TISS? Pumbavu!
Iongelee nafsi yako usiongelee kwa uwingi,sema; "Usitake kunilazimisha nijue.." sio kutulazimisha.."

Naona bado unaendelea na taarabu zako hapa halafu ukija achika uje kufungua thd hapa yakutaka ushauri,
Binti angalia Nyumba yako kwanza JF ipo siku zote.
 
Mihe
Rais wa Ethiopia hana madaraka kama Waziri Mkuu wa Ethiopia.
mihemuko mingine bwana, sasa hapa mkuu unajadili hoja iliyoletwa au umekuja na uzi wako mpya?
 
Swine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…