Nimemsikia Rais Magufuli akiwaambia walinzi wake "Msiwazuie watu wake, watu wake waacheni waje"

Ila mkuu bado hujakata kiu ya swali langu.
Mihe

mihemuko mingine bwana, sasa hapa mkuu unajadili hoja iliyoletwa au umekuja na uzi wako mpya?

Inategemea mtazamo wako uko vipi?.
Ethiopia Waziri Mkuu ndio mwenye serekali,Rais hana hadhi kama Rais wa Kenya au Nigeria.

Rais wa Ethiopia ni sawa na Rais wa Israel hawa ni ceremonial.
 
Rais anapoenda nchi ya Nje jukumu lanulinzi huwa la mwenyeji wake na kama atahitaji walimzi wake watumike basi kwa maombi maalum au kibali maalum Kutoka ikulu ya mwenyeji au wizara ya itakayokasimishwa madaraka na rais
 
Mbona Obama alipokuja walinzi wake hawakuwekwa pembeni?
Wanakuwa wameomba katika nchi husika kufanya ulinzi kwa kiongozi wao na pia wanaweza kuomba kulinda maeneo yote muhuni ambayo rais wao atatembelea na hapo walinzi wetu watakuwa wachache sana with high skills kuangalia mwensendo wa wageni
 
Tatizo la jamaa yetu huwaanajifanya anajua kila kitu, hapo alitaka tu aonekanae anajali sana wageni. Hiyo haikuwa kazi yake, anatakiwa aachie walinzi/usalama wafanye kazi kutokana na taratibu zao. Atakuja kusababisha majnga kwa mambo yake ya kukurupuka
 
 

Attachments

  • IMG_20210126_233156.jpg
    179.5 KB · Views: 2
Wewe uliskia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…