johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Mgaya analia kama Mwita WaitaraDawa ni kubadilisha mfumo CCM uliokaa miaka 62 madarakani!
Hata kama ungekuwa ni wew musee lazima ungepiga tu, na kila mpigaji anapiga kulingana na pale alipo. Kila mtu aliyenanafasi analamba asali bila uoga., watu walikuwa na uoga kipindi cha Mwamba tu. Kwa sas daaah kila mtu anachukua kadri awezavyo.,Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha moto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Kwani aliwakataa au aliwakubali wawepo? Hadi RC anazindua ujue si bure. Huu ndio muda wao, tusubirie zamu ya wengine, zamu ya waleee isha koma kitamboYaani unadhani mtu mzima kujiita chawa ni burebure tu? Watu wanakwiba hatari
Mzee Mgaya kapasua Kishikwambi Chake!Hata kama ungekuwa ni wew musee lazima ungepiga tu, na kila mpigaji anapiga kulingana na pale alipo. Kila mtu aliyenanafasi analamba asali bila uoga., watu walikuwa na uoga kipindi cha Mwamba tu. Kwa sas daaah kila mtu anachukua kadri awezavyo.,
CCM ni hatari kuliko coronaDawa ni kubadilisha mfumo CCM uliokaa miaka 62 madarakani!
Tuendelee kuwapiga Pesa mileleKiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema
πππMpuuzi wewe ilikuwa leo posho zenu zitoke umewageuka haraka
UWT inabidi wawe na wewe makini snπππ
π€©π€©Na wewe usituambie habari za mwamba yule naye alikuwa mwizi tu tofauti alikuwa anawadhibiti wengine wasiibe ili yeye na wanawe wajipigie kiulaiiini,au huamini ishu ya ile 1.5 Trillion aliyoistikia Assad na haya mabilioni ya plea bargain?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ccm ni janga la kitaifa ni hatari kwa taifa letu kila mwaka ripoti inaonyesha wanavyogawana kodi zetu lkn hakuna hatua zinazochukuliwa tunahitaji katiba mpya tuiondoshe ccmKiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Kula urefu wa kamba,au CAG hakusikia hii kauliKiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema