Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

Vipi semaji la CAF?
 
Point kubwa ni kuwa Yanga wanamshambulia Kwa njia za kishirikina...hiyo ndo main point anachojaribu kusema...

Kuna mashabiki anawajua...watu wa ndumba ...wanatumika na club kwenye mambo ya kishirikina...wamekuwa pia wanamshambulia na yeye since aondoke Yanga...


Hiko ndo kilio chake
 
Ange deal na hao watu wake ndani ya club binafsi ningemuelewa, tatizo amewaficja hao watu wake na kuamua kuijumuisha club, kama ni damage kwa club basi angekuwa ameshaifanya kubwa sana.
Ila kama nilivyoandika, limit yake ya uelewa wa lugha nayo imechangia pakubwa sana mkanganyiko wa anayoyaongea. Ingawa kitabia pia ana changamoto inavyoonekana, zaidi ya kazi yake nzuri aliyoifanya uwanjani nilikua sifahamu mengine yamhusuyo
 
Ndio kinachomuumiza hiko na huko Misri, jamaa hawana muda naye.
Kwanini aumie wakati anaweza akarudi Tanzania na kujiunga na Azam, Simba au Club youote atakayoichagua?
Aache uswahili, ajifunze kuwa professional.
 
Mayele yupo real for sure nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.....

Embu wewe SEMA shida ilo wap 😊

Mpira Ni ajira nyie mnaleta KUCHEKA CHEKA

NILIWAI KUA KWENYE SITUATION KAMA YA MAYELE PIA NAJUA HOW IT'S

NI PUNGUANI PEKEE AMBAE HATO MUELEWA MAYELE..
 
Anaonekana anahusudu sana mambo ya kishirikina
 

Hao watu ni "waganga wa timu"... kwahiyo club inahusika.....
Ushirikina WA Yanga uko so openly
Kuna clips za Aziz Ki anatoa sadaka ya coins kwenye uwanja sijui mkoa gani.......Yanga wanasifika Sana Kwa ushirikina toka miaka ya 60s.....Mayele anaongea anataka club iwabane hao waganga...anawajua keshafanya kazi nao ...
 
Sasa umefuata nini kwenye Uzi huu? Si ukawasome hao?
 
Kama ungesima nilichosndika kamwe usingeandika comment hii
 
Anaonekana anahusudu sana mambo ya kishirikina
Anaijua Yanga ...keshacheza...na waganga wa Timu anawajua...anawalalamikia kwanini wanataka kumshughulikia kisa kahama Tu Yanga?
 
Hizo unazoleta ni Abracadabra zenu za miaka nenda rudi. Labda kwa kuwa ni vitu mnavyoviendekeza na kuviishi ndiyo maana kwenu imekuwa rahisi sana kumuelewa kuliko sisi wengine.
 
Msishangae siku moja kuona jamaa ni straika wa Namungo au timu za kaliba hiyo.
 
Kua real sio kuropoka acha ujinga, unawezaje kusema waarabu sio watu wazuri wakati huo huo umeajiliwa na waarabu unaishi kwao kila kitu unapata kutoka kwao! anasema hua hakai kwenye timu msimu zaidi ya miwili wakati hata mmoja haja maliza na ali sign miaka mitatu maana yake coach aanze kumtoa kwenye mipango yake au ili iweje? Mbappe huyo apo inafahamika anaondoka PSG lakini anasema msimu ukiisha ndio ataongea hatima yake
 
Anaijua Yanga ...keshacheza...na waganga wa Timu anawajua...anawalalamikia kwanini wanataka kumshughulikia kisa kahama Tu Yanga?
Hivi kati ya Morrison, Feisal, Bangala na Mayele nani aliondoka Yanga kwa mizingwe? mbona hao wengine wamecheza huko waliko bila tatizo bila tatizo imekuaje yeye pekee ndio alogwe? atulize akili acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote
 
Hivi kati ya Morrison, Feisal, Bangala na Mayele nani aliondoka Yanga kwa mizingwe? mbona hao wengine wamecheza huko waliko bila tatizo bila tatizo imekuaje yeye pekee ndio alogwe? atulize akili acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote
Ni sahihi kabisa.
 
Hatuna time nayee kumbe boyaa tu, mwanaume unashindwa kumove on.....,ukutee Rais wa Pyramid amemlaa Tako chezea warabuu.
 
kumbe bado mmemfollow.

huyu jamaa anamiss sana yanga. kwanza kuondoka kwake alidhani ndo timu inakufa MUNGU sio ATHUMANI kamng'arisha AZIZ KI mpaka nawaza au alikua anamficha.
halafu ufalme wake umechukuliwa na PACOME naamini hamna siku ilimchoma kama pacome day.
wivu unamsumbua na kukosa attention anawaza na yeye angepata mayele day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…