Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Pole
Wenzio tulikuwa tunahonga hadi laptop na bado mwisho wa siku baada ya karibu miaka07 ya mahusiano mtu anakwambia nimempata docta mwenzangu. I just moved on nikapata mwingine na kuoa ameni bless watoto 2 me na ke.

Upande wa pili jamaa alimdaganya kumbe alikuwa mme wa mtu.
Alipoona yameisha mapenzi kule akarudi kwangu analia nikasema stop .

Aliolewa tena lkn analia daily ule upando niliompa mwanzo haupati tena. Anasema nimsamehe labda nafsi itatulia nae afurahie maisha.
Thanks God.
Bro just move on
 
mkuuu ulishamla inatosha relax ww,mwalimu
 
Dah!!
Haya mambo yasikie tu kwa wengine usiombe yakukute.........

Ni mapito magumu sana kwa mwanaume......

Mungu awatie nguvu wote waliokinywa kikombe hiki.....
 
Ndugu yangu ingawa ni jambo la muda mrefu........lakini naendelea kukupa pole ingawa sijui una hali gani maana ni muda mrefu......kama umeamua kujiua upumzike kwa amani......
 
🤣🤣 asikilize fool again
 
Miaka nane imepita!
Ila pole sana kamanda, mtaani kuna msemo wanasema mchumba hasomweshwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…