demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo.
Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa mzigo wa mishahara kwa klabu.
Kama ulipata nafasi ya kumtazama vyema utakuwa umegundua vitu vifuatavyo ambavyo nimevi-notice kutoka kwake.
1. Ni mzito ku-track back pale mpira unapokuwa kwa upinzani. - tangu aingizwe uwanjani simba ilionekana kuwa vulnerable zaidi kwenye counter attacks.
2. Mipira/Pasi zake zimekuwa sio za uhakika kama ilivyo awali - Pasi nyingi alizokuwa akipiga zilikuwa zinakuwa-intercepted na viungo wa Mtibwa. Hili linaonyesha ameishiwa kabisa nguvu za kutosha miguuni kufikisha mipira kwenye target.
3. Anakabia snaa macho - Hii nadhani imesababishwa na hali ya kujiona yeye ndio superstar kuliko yeyote pale klabuni. Hii tabia ndio ilimpelekea hata Ibenge asimuweke kwenye hesabu zake.
4. Physique yake imeshuka kiasi kwamba mipira mingi alikuwa akipoteza. Hii inatokana na kudorora kwa nyama nyama za mwili wake tangu arejee kutoka Morroco.
5. Hana tena threat mbele ya lango la wapinzani kwakuwa kwenye chezo wa Manungu alikuwa na 0 shoots on target & 1 shoot on target. Na final passes zake nyingi zilikiwa diagonal.
Kwa jicho la kichambuzi hizi sababu ziko universal kwa wachezaji wengi wenye above 30 pale Simba.
Hivyo basi Chama hajaja kuokoa jahazi, bali amekuja kuongeza tatizo.