Je JAMAA MWENYEWE ni huyo hapo juu AMBAYE ulimsaka kupitia hapa hapa JF siku za nyuma?jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
ataki tufanye bwana anadai hadi ndoaSawa ila taratibu sasa
Usidai kama unadai salio dukani baada ya kununua mchele au sukari
Na wa kupanga mtoto ni wewe
Si unajijua bana siku zako za hatari unashindwa nini kumkamata jamaa wakati huo
Au mambo kwako hayajipi
usichukulie jf serias mkuu ni ushauri tu wa bure nakupaMbona tu muda sio mrefu last year ulikuwa unamtafuta mchumba humu? ni muda gani umempata na kuanza logistic za ndoa? na kwanini unataka mtoto nje ya ndoa? utakuwa una lako jambo
Kama ni mtoto utapata tu hakuna haja ya harakamimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
ataki tufanye bwana anadai hadi ndoa
yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembakamhhh hapo nareserve my comment
maana kuna uhakika wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia
hata kama amelelewa kwenye dini we mjanja bana unashindwa kweli kupata kile unachotaka
na ujanja wako wote
i wish sana mkuu au nimbake nini?kama ni mtoto utapata tu hakuna haja ya haraka
unaweza sema umuache na usipate mimba hivyo cha muhimu ni kujitahidi kuwa
mvumilivu tu ipo siku utapata mtoto tu
huwezi jua kwanini mitego yako hainasi