ngoja ifike march nasepa zangu
mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake
tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini
nimemwambia anipe mimba hataki
sina raha kusema kweli
hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu
maisha nini bwana bila family?
sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali
KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI?
SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA
ataki tufanye bwana anadai hadi ndoa

mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
Hao wa kusubiri ndoa ndio mfanye mambo, unakuta mambo yenyewe si mambo kamoja wiki mbili ndio kanachaji tena unaanza kujilahumu, bora mchezo uujue mapema ndio siri ya ushindi, Smile komaa we mjanja bwana!