Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

napenda kuwa na mtoto kuliko chochote tulizo
 
Mkuu hata mimi siikubali kwa dunia yetu ya leo, labda awe na hitilafu katika mwili!
 
Mkuu hata mimi siikubali kwa dunia yetu ya leo, labda awe na hitilafu katika mwili!

Mkuu hapo kuna issue behind bana
Kwa hali ya sasa hivi mtu akisema hajawahi kujaribu hadi anafikia kuoa ni balaa
May be mtoto wa form four tena wa seminary akisema tunaweza kumwamini ila mtu mzima miaka 30 bado unasema hujawahi duh
 
napenda kuwa na mtoto kuliko chochote tulizo

Hilo linawezekana kwani hata ndoa haina guarantee kuwa itadumu maisha...Pia kuna kinamama wengi wamelea watoto wenyewe..Kikubwa jipange na amua bila kumtegemea huyo jamaa..Kama ikitokea amekubali kuwa baba basi ni vyema otherwise, Jiamini mwenyewe kwa yote.. hata kama utaamua kufanya surprise au kumtegeshea wakati wa siku za red..Kikubwa jitayalishe kwa maisha marefu ya furaha kati yako na mtoto bila kutegemea kiumbe mwingine..
 
Mkuu hapo kuna issue behind bana
Kwa hali ya sasa hivi mtu akisema hajawahi kujaribu hadi anafikia kuoa ni balaa
May be mtoto wa form four tena wa seminary akisema tunaweza kumwamini ila mtu mzima miaka 30 bado unasema hujawahi duh
Mkuu hata hao hao wa primary wanamegana, jana haukuona thread moja mama kawafuma wanae wa kiume wanamegana wao kwa wao! Sembuse jitu zima liwe haliwajahi kuona kitumbua cha mzima? Si bure huyo kuna sehemu anapoza, kama sivyo basi kutakuwa na shughuli hapo mbele kwa dada yetu Smile!
 
bonge la ushauri
 
Kabisa aise
Ajiandae tuu kwenda kutoa darasa
Au anaweza kukutana na kitu akatoka na kanga moja ndani ya nyumba
Yote yanawezekana mkuu
 
Hii nimeisoma punde katika toleo la 'Newsweek la wiki hii haka ka headline:
Preganancy through PM's now possible:
vipi nimwambie Rejao akurushie ka mbegu fasta kupitia PM?
Smile utamueweza basi? hizo nimeshazituma sana...
 
Kabisa aise
Ajiandae tuu kwenda kutoa darasa
Au anaweza kukutana na kitu akatoka na kanga moja ndani ya nyumba
Yote yanawezekana mkuu
Mkuu hii nimecheka sana!

Kelele zote akaja kutoka nduki mziki mzito CD 500.
 
Ndo hapo mkuu
Kuna watu wanaogopa wenzao wasione mambo zao maana itakuwa balaa na bibie anaweza asirudi tena
Bora lawama aise
Lakini kwa jinsi unavyomuona Smile, kama anakuta shughuli pevu si hapo hapo anamwaga manyanga? Maana dada yetu mwenyewe namuona "uso wa mbuzi" hakawii kukutoa nishai.
 
Lakini kwa jinsi unavyomuona Smile, kama anakuta shughuli pevu si hapo hapo anamwaga manyanga? Maana dada yetu mwenyewe namuona "uso wa mbuzi" hakawii kukutoa nishai.

Akinitoa nishai kuwa amekutana na kitu sicho hapo ni sifa kwangu
Mimi nitajali nini
Ni yeye aibu yake kuwa ameshindwa gwaride la jeshi ameamua kurudi uraiani
 
Akinitoa nishai kuwa amekutana na kitu sicho hapo ni sifa kwangu
Mimi nitajali nini
Ni yeye aibu yake kuwa ameshindwa gwaride la jeshi ameamua kurudi uraiani

Alafu siku zote kwenye miti mkuu hakuna wajenzi, bahati mbona hazijagi kwa mwanaluwala! aaaaaaaaahg!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…