Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

yeye ana mtoto eti anaogopa kuwa na mtoto mwingine nje ya ndoa na mimi nataka mtoto sasa

Kama ndio hivyo basi hujamuhakikishia kama ndo wewe utakuwa mke wake, cha kufanya wewe mfanye ajisikie ya kuwa wewe ndo mke wake kama anakuona wewe ni machepele unadhani atakubali kukutunisha tumbo?
 
Mi kuna demu alinizimia nikawa
naye tu kama nimemkubalia huku aking'ang'ania nimbandue,
nikawa namdeshi kuwa angoje nihitimu ndio ntaanza naye,
kwa kuwa hakuwa mkali,
we unaendana na avatar yako kweli?
 
Hivi Mungu alisema tukibaka chochote pia atatupa eeh? Kuna kitu najiandaa kukibaka aisee
makusudi ya mungu kwetu binadamu ni mema hawezio kuninyima amesema tuombe lolote nae atatupa
 
Dah!my dia nakusifu kwa huo ujacri wako!mie nakuombea mungu ubadili mawazo usubiri ndoa na uzae ndani ya ndoa!kwa vile jamaa ana mtoto anafaham madhara ya kuzaa kabla ya ndoa ndio maana anakomaa!mungu atakusaidia utakua na subira na jamaa atatangaza ndoa mapema so mtaenda sawa shost!
 
Smile bwana............!!!!!!!!!!!!!!! kwani una umri gani dada? maana wadada nao wakishagonga umri wa kuanzia 24+ wanaona ndo wanazeeka. Ni p.m nikushauri la kufanya....
 
Kwa hiyo umuongezee mistari ya bible ili azidi kubana au?? Heheh......habari yako mama mchungaji?

Hahahaha. . . namfafanulia mistari kiundani zaidi.

Poa kakondoo. . . missed you!!
 

Huna subira ya miezi mitatu jee hiyo tisa ya kubeba tumbo itakuwaje?
 
Pole kwa yanayokukumba ishu siku hizi mimba halafu ndo harusi.Ila huyo naona kama huendani nae manake yeye mdini halafu wewe ndo mwenzangu na miye.Soma wakati kabla hajakusoma utaja lia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…