yani siku hizi hawa wababa na hivi vidada vya kazi akili zinawaruka kabisa.jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama...
Hiyo hatua moja mbele ni ipi mkuu?Inabidi upige hatua moja mbele
ahahahah jela miaka 270 viboko vitatu ukitoka na vitatu ukiingia,ashki majununUdhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
Si kweli huyo binti inaonekana umeanza kumuwazia kitambo ili hukupata mud a wa kumshika, pengine alikuwa hajakupitia karibu, acha tamaa Na viuno vya watu, ridhika Na kiuno cha huyo uliyenaeniliamka na upako kabisa mkuu atakuwa shetani tu
Kiranga aibuka!Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
Udhalilishaji wa kijinsia.

Mkuu salute kwakoUdhalilishaji wa kijinsia.