Siku hizi ukitongoza hukataliwi lakini masaa machache baada ya kukubaliwa unapigwa kirungu cha uhakika..sasa utajua mwenyewe unachomokaje...na demu hapo atakuwa anafanya analysis ya kujua kama wewe ni bwege unayehonga massively au ni kapuku tu asiye na chakuhonga.
Hamna kitu hapa, Unajifanya tu.. Sijaona hiyo Brain bado .Unakutana na wajinga ndo wanaliwa hivyo, ila wajanja thubutuuuu yako, unaliwa huku unajiona na huamini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Singo maza wangu, aliyenizalia Mtoto, anavyonipenda .Mimi nimeambiwa kulipa kodi ya saluni yake na matumizi kwa mwezi laki 4.
Hahahaha nikuache , kwako sijawah Ona Brain.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nimecheka nusu nipaliwe hapa, sasa nikisema unakutan na wajinga unakataa, kwa hayo maelezo yako endelea kukutan na wenye akili za kushikiwa, ila wenye akili zao thubutuuuu tena thubutuuuuuu haswaaah lol
Huo ndo ukweli.. maana ukimpa hela ndogo tofauti na matarajio yake unakuta ananuna.90 ya wanaume tunanunua ngono indirect na 90 ya wanawake wanajiuza indirect.
Hakuna kuonesha UNYONGE, Ni kwenda nae Bampa to Bampa.Simple like that..demu akileta mambo ya kikahaba na wewe unaenda nae kikahaba hivo hivo.
Huo ndio uanaume sasa.. big upKuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Sasa Tunafanyaje mkuu,Ndugu yangu we ni mafia sana [emoji3][emoji3]
Una single mother halafu mpakistani [emoji26][emoji26] Mungu akutangulie broSingo maza wangu, aliyenizalia Mtoto, anavyonipenda .
Jana Nimempa Cash 1.6 Million za Kitanzia aibust biashara yake.
Huyu Mchaga ana akili ya Utafutaji sana.
Tatizo ukimblock unakua umemtangaxia kwmb wewe Ni mnyonge[emoji4]Kuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Wannaita tego la sungura,limemnasa tembo[emoji3]Kwa sisi wataalamu huo tunaita mtego wa fundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ngumu sana hii[emoji4]Mimi asubuhi hii ndiyo naperuzi nimecheka sana hahahhahah Bongo Juma Nyoso Bongo Balaa
Kama kazoea Si atumie hela yake pumbav sanaKuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Atakua jini uyo[emoji3]Kuna dada nnachart nae hapa wiki ya pili hi haombi hera!!!
Hadi najiuliza yan[emoji28][emoji28][emoji28]