Mshauri atoe taarifa kituo cha polisi,kisha mchek reply yake.Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.
Shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumuJana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.
Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni
Hivi anayevutia yukoje na hasiye vutia yukoje?Sasa msilalamike mkipigwa mizinga sababu mnataka wanaovutia,kufeni kiume tu....[emoji3]
Msaidie sana hata aka hukue RB polisiJana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.
Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"
Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea
Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"
Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.
Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!
Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...
Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Atoe laki tano kwa ajili ya u....chi,he can't be seriousHapo umepata mdangaji na sio mpenzi
(haihitaji kujiuliza Mara mbili)
Kama uwezo unao,
mpe iyo Ela afu nawe mfanye kahaba wako.MFUJE IPASAVYO USIMPE PUMZI. Kisha pembeni endelea na harakati za kutafta mpenz wako.
Akija kustuka na keshaanza kukupenda tayar, wewe Ndo ushapata mpenz wako anayejielewa unampiga chini kwa maumivu makali uku ushampotezea MDA KIBAO na menopause ishasogea.
Ndo dawa ya wadanganji iyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Usikute kapoteza kweli angalia namna ya kumsaidia mrembo. au weka namba zake hapa kina baba huruma tumsaidie.
Sasa mbona wanaume wanashangaa kuombwa hela siku hyo hyo wakat yeye ameomba K siku hyo hyo?? Kama ulivyosema lengo ni kumtumia basi na yeye asiogope kutumika.
Eti kameza shoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kameza shokaaa😂😂Sahii kabisa,
Nnachokataa always ni ile kujifanya ananipenda KUMBE unanidanga.
Kama Ni mapenzi acha yaflow naturally, ila Kama Ni biashara it's better tukauziana TU Kila mtu afe kivyake[emoji4]
Sio unaniuzia, nishakulipa chako ushatembea mbele.
Baadae unaniletea habar za Kod imeisha, mjomba kameza shoka, mvua imeezua bati.n.k.
Huo utakua Ni upuuzi,
Ni biashara gan Iyo unafanya Haina bima wala haiwez kujilipia Kodi wala kukutatulia changamoto zako binafsi nje ya KAZI.
Sasa
Itabidi iyo biashara ufunge Sasa, ukatafute KAZI nyingine[emoji4]
Ningekua mtoa mada,
Ningetoa iyo pesa Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]
Ntampa Tena Mara 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.
Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 Kila mechi[emoji4]
BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
Tapeli huyoJana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.