Nimemtongoza lakini Kasi yake imenitisha

Nimemtongoza lakini Kasi yake imenitisha

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Yes nilikua natokea Kilosa Morogoro kwa ishu zangu nikawa nimechelewa bus za moja kwa moja kutoka Kilosa mpaka Dar, ikanibid nibande gari mpaka Dumila ili nivizie gari zinazotoka barabara ya Dodoma.

Kweli nikapata bus imetoka Dodoma inaenda Dar nikapata siti za nyuma kabisa na gari ilikua haijajaa so siti zikikua tupu nikaa peke yangu, kufika stand Msamvu watu wakashuka kuchimba dawa nami nikashuka japo sikua na haja.

Wakati nashuka nikawa nimetangulizana na mama mmoja hivi ana tako la hatari na lipo teke teke mara mwili moyo ukapasuka paaa nini hiki, kutokana na ukubwa wa mwili wake akawa anatembea taratibu ukabidi nimpite wakati wa kwenda chooni nikageuka nyuma kuangalia sura yake kumcheki ni mtu mzima kiasi.

Nikaingia msalani nikatoka, nikakaa karibu na basi letu nikiwa naongea na simu naye akatoka akanipita pale tukaangaliana usoni nikamkazia nikaona kama anaona aibu hivi.

Nilivopanda kwenye basi nkamkuta kakaa na mama mwingine huyu ni mbibi kabisa nikamwangalia tena nikaona kama anaona aibu hivi nikapita zangu nikaenda kukaa nyuma nawaza ntaanzaje kumsalimia huyu Mimi nashuka mlandizi je yeye kama anaenda kushuka mbezi ntafanyaje na nikimsalimia akaacha kunicharua mbele za watu si ntaaibika , bora nimwache aende zake.

Kufika chalinze wakapanda wale jamaa wanaouza soda na biscut hapo hapo nikapata chance nikamwita jamaa wa vinywji nikamtuma akamuulizie anataka Nini na ampe, jamaa akaenda akamuulizia akamwonesha mtu alietoa ofa mama akachukua jamaa akaja akanipa bill ya vitu alivochukua nikamlipa nikajisemea nikishuka ntajua cha kufanya.

Safari imeendelea yule muuza vinywaji akiwa mbele mara akanifata na simu akanambia kasema umwandikie namba yako kweli nikampa.

Tukaanza kuchat mpaka nafika mlandizi tushaelewana Nini kinatakiwa kufanyika na akaniambia kama vipi niende mpaka mbezi tukae sehemu tuyajenge, nikamwambia Kuna kazi naenda cheki mlandizi kuhusu yeye kushuka mlandzi kasema ana mizigo ya watu kwenye gari.

Tukaachana, alivofika kwake tukaongea sana akaanza kunisifia kua alinipenda tangu alivoniona Msamvu wakati wa kushuka kwenda msalani.

Nimemwambia nimeoa hana tabu kanambia nitafute Gest sehemu aje tulane usiku nikalale kwangu asubuhi nimfate tuendeleze gemu.

Nimemwambia tukapime afya ili tufanye kavu kakubali kasema twende hosptali tukapime au tununue vipimo tujipime.

Kinachonitisha mmama ni mzuri lakini kwanini kawa cheap kiasi hiki huko anakoishi wangapi wanapita nae?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
ila sisi wanaume Kuna point huwa tunafeli sana[emoji23]

Ko mkuu ulitegemea uambiwe majibu mwez ujao.

Afu hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa umalaya na kukubaliwa haraka

Kwasabab unaweza Kuta malaya anakuzungusha afu Kuna wanjipigia tu hadi mtaroni

We kapime naye akiwa fresh ishi nae
 
Wakiringa mnalalamika, wakijiachia kwa wepesi napo nongwa. Kama keshakubali wewe nenda ukatimze azma yako tu hayo ya cheap na expensive yasikusumbue.

Kwa kifupi umekutana na mfanyabiashara wa mbwinya, kwake wewe ni mteja kama wateja wengine hivyo hawezi kujivunga. Ushauri wangu ulizia bei kabla ya kumlala usije ukajaziwa watu baada ya kukojoa na kuambiwa unadaiwa milioni 1.
 
ila sisi wanaume Kuna point huwa tunafeli sana[emoji23]

Ko mkuu ulitegemea uambiwe majibu mwez ujao.

Afu hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa umalaya na kukubaliwa haraka

Kwasabab unaweza Kuta malaya anakuzungusha afu Kuna wanjipigia tu hadi mtaroni

We kapime naye akiwa fresh ishi nae
Ata akipima asisahau mpira uhai ni muhimu kuliko utelezi mkuu
 
Ww jamaa huelew nini unataka inaonekana ww unapenda kuambiwa subir majibu next week nikafkirie
 
Mkuu acha utoto. Stori zingine sio kabisa yaani.

Acha kumdhalilisha mama wa watu hata kama humtaji jina

By the way ulimtongoza wa nini kwani ili akukatalie au?

Yaani kuna watu huku JF wanaanzisha threads za kimaku sana .Kama muanzisha thread hii.
Hivi mwanamme mzima kabisa na akili zako timamu unawezaje kufikiria hadi kuuanzishia Uzi mada kama hii.
 
Back
Top Bottom