Nimemtongoza lakini Kasi yake imenitisha

Huyo anataka ndoa sasa wewe endelea kuuliza maswali yasiyo na tija. Umri wake umeenda ujue
 

Kweli kuna wanawake wanateseka, yani una mke anategemea wewe ni Baba na utakuwa na watoto naye na huu ndo uwezo wako wa kuchambua mambo?

Malaya hawana lable, umri au hulka, malaya wanatambulika kwa maamuzi, fikra zao na utayari wao wakulala na mwanaume bila kujuana.
 
Halafu kutwa kusema wanawake hatujui tunachokitaka. Na hili kwa mwanaume inakuaje sasa
 
Kwa hilo neno kisabengo mpaka nimemkumbuka mama yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza kisabengo binti[emoji38]
Kanichosha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ana kisabengo kikubwa
 
Ety eeh
 
Kwa uzuri ule na uvaaji ule sikutegemea au cheap kiasi kile

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh...mwamba sijui unafeli wapi au ndio ushazoea uombwe vocha,kodi imeisha,gesi imeisha,sim mbovu na wakati kakubali mpaka kupima...ningekua mimi hata mlandizi nisingeshuka ningefika mbezi nikale tunda kimasihara[emoji3][emoji3]
Mmama anaonekana wa heshima sana kilichonishanganza ana speed kuliko Mimi mtakaji

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha utoto. Stori zingine sio kabisa yaani.

Acha kumdhalilisha mama wa watu hata kama humtaji jina

By the way ulimtongoza wa nini kwani ili akukatalie au?
Nilomtongoza ili nimle speed yake kubwa kuliko Mimi mtakaji

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
We nawe punguani kiazi....

Ulitaka usumbuliwe? Kama kakupenda asifunguke? Au ushazoea kudate na wanafunzi....

Shubhamiti
 
Nilomtongoza ili nimle speed yake kubwa kuliko Mimi mtakaji

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Speed yake kuliko wewe kwani yeye ndio alikuanza?

Sema hujiamini dogo. Endelea kuvizia wauza utamu wa kilosa achana na watu walio serious

Ni wewe ndio unajionesha udhaifu wala sio huyo mama
 
unategwa.. ukiingia tu unaliwa huku umesimama wima
 
Asa si amekupenda wewe, wasiwasi nini?
 
Si umepata ulichokua unakitaka sasa mbona unawaza au ulitaka muanze kuzungushana na huo utu uzima wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…