mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
wadau.
nimeshakodisha chanja la kuhifadhia kitunguu changu somewhere iringa-malolo.
mwaka huu machale yalincheza sijalima.
nimeshanunua gunia kama 50 za kitunguu iliyo safi na maalum kwa kuhifadhiwa miez 3,kumbuka sio kila kitunguu kinawekwa chanjani..huwa vinakaguliwa kwa ustadi na kiutaalam....
bei ya gunia moja kwa sasa ni 35,000 plus ushuru na usafiri ni kama 40,000 kwa gunia.
tunasubiri inshallah bei ipande by december lets say 100,000 nauza.
kwa yeyote aliefanya biashara ya namna hii anaweza toa changamoto kadhaa zinazohusiana na hii kitu?
sitegemei habari kama moto,kuibwa n,k izo ndio risks zenyewe.
karibuni tuwekeze...plan ni gunia 100