Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!

Zilikuwa kama kampeni kwani huoni kwa CCM? kipind cha uchaguzi wanaingia kweny nyumba za tope ila wakipata wanazipita kwa V8 kwa mbali , huku wamefunga vioo.
 
kama ni kweli, unastahili every pain on your way
 
Umepoteza anayekupa chumvi,ukamuona bora anayekupa sukari
usipoteze hata muda wako Jo'..
Kuna pahala huyu ni mwanaume..!!

 
Hawa ndio hufanya watu wasiwe serious hata likija jambo la msingi kabisa.
 
Wapumbavu sana hawa watu, kuna siku mtu atakuja na cases serious Halafu tunaona ni chai kisa hawa wapuuzi.
 
Nyoko zake!ndio maana nilivyokuwa nasoma niliona kuna matukio kama sio ya uhalisia hivi!
 
Jiue tu.
 
Wahenga wanasema Usiache mbachao kwa msala upitao!
Umwemwacha Mme halali wa kwanza harafu ukachukuliwa na mme wa mtu! Sasa unahitaji msaada gani tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…