Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!


Skylar
 

Skylar
 
Tukishapataga Jimbo huwa huduma jimboni zinapungua...Ila makazini watu wananyanduana Sana aiseee...ofisin watu wanashikana Hadi sehemu za Siri dah...Kama mkeo au mumeo ni mtumishi basi fumba tu macho..Ila yanayofanyika mkijua basi lazima muachane
 
Nimetoka kumuambia mke wangu hao wanaojifanya wanakujali ni kwa sababu bills zako zote nalipa mimi ipo siku nitawaachia jumla ili waone ninachofaidi na utanikumbuka mbwa mkubwa weye.
Wanawake ni viumbe dhaifu sana.
Akitendwa kwa akili na mwanaume kwa vizawadi vidogo vidogo anaweza kukuita wewe mbwa ambaye unamtunza siku zote.

Niwakumbushe tu...
Hakuna mwanaume atatoka from nowhere akutinze wewe ilhali ana mke wake eti useme anakupenda...akimaliza kukuvua nguo huna thamani tena kwake.

Ni mwanaume mmoja pekee aliyekuweka ndani ndio anayekupenda kwa dhati.
 
Wewe jamaa bila shaka ni mwanaume, acha kucheza na akili za watu; mwanamke hawezi akaandika uzi kwa kutumia maudhui ya kujisifia...

Mwanamke hawezi kuomba ushauri kupitia uzi ambao umemlenga kujikweza.
 
Kwani shemeji ameanza tabia za ukorofi mkuu?

Mara nyingi hawaoni thamani yetu hadi tuwape red card ndio akili inawakaa sawa.
Alianza kujifanya kama amenizoea
 
Kama hii ni kweli, Basi dunia ina viazi vingi vinavyotembea.
 
Hehehe! Ulikuwa humjui ticha juma, ndio tabia zake, Wana tumesema sana lakini habadiliki. Pambana na Hali yako dada.
 
Mwache tafuta mwingine tena maana huyo hakuna haja ya talaka we ondoka tu na watoto wako 2 then ukijifungua tafuta mwingine akulelee wanao jinga wewe
 
Lihadithi la Fesibuku huko tena la miaka na miaka wakati bado niko huko. Vijana wa fomu siksi hawa wala wasikuhangaishe!
 
Aisee bora ukose mali ila sio akili na utashi, ushauri mvumilie ndo ubavu wako huo au kama vipi tafuta mwingine iwe repetition of circle
 
Women are emotional feeler and men are logical thinker. Umejaa kwenye mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…