Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa 2000 hawafaham kitu, old timers aka wahenga ndio tunajuaView attachment 3203319
View attachment 3203335
Eti anasema "hio ilikuwa miaka ya 80 nini ??🤣🤣🤣🤣🤣"
Millenials mmeanza kuwa makumbusho ya taifa sasa
Ni kweli?? au unataniaNa ukipigiwa unakatwa pesa.
Ni kweli. Mwanzoni kabisa. Ikiwa huna salio huwezi kupokea.Ni kweli?? au unatania
Mleta mada kamwaga mitusi kawekwa Lockup.
Ila si kama wasap now daysNi kweli. Mwanzoni kabisa. Ikiwa huna salio huwezi kupokea.
Kabisa, wabongo wengi atuwezi mijadala,tunafeli sana hata kwenye mijadala sensitive atuwezi kwasababu atuna data za kutosha.Ndivyo anavyoongozwa na Roho mtakatifu wake , kumwaga matusi anaposhindwa kujibu hoja