Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kuwatazama! Labda connection!Nimemtazama hakimu pamoja na wanasheria wa serikali.
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Vi-note toka juu!Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Na sasa hivi ndiyo wamejaa kila mahali.Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,
Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Kuna yule mjinga marehemu kwa sasa alikuwa akisema watu wale tangawii na limao na kujifukiza na akajenga banda la kujifukiza muhimbiliKitu chochote ambacho ni Taaluma yako umekisomea halafu akatokea Boss anataka ufanye Kwa anavyotaka yeye,ni lazima kikusumbue tu
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,
Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Mkuu nadhani tatizo linaenda zaidi ya vi-note. Kuna mahali tuli mess na elimu yetu. Kutana na masters graduate wa chuo kikuu cha Dar ndiyo utakubaliana na mimi. Ni wachache sana wenye uwezo.Vi-note toka juu!
Imeharibu karibu idara zote serikalini.UVCCM NDYO UPATE CONECTION
Tatizo la nchi hii sababu ya political differences , vipaji kama akina tundulissu wanaoigwa vita sanaKuwa na kazi havihusiani kuwa na akili kubwa, Lissu amepiga parefu sana pia Wakili wa Serikali namuona kama sheria imemshika haiwezi .
Nchi ilipaswa itumie mtu makini kama TUNDU LISSU , anatufundisha sheria inavyofanya kazi.
We messed up siku tulipo allow siasa iwe sehem ya elimu yetu, hii ni worst mistakeMkuu nadhani tatizo linaenda zaidi ya vi-note. Kuna mahali tuli mess na elimu yetu. Kutana na masters graduate wa chuo kikuu cha Dar ndiyo utakubaliana na mimi. Ni wachache sana wenye uwezo.
Hii kesi inawadhalilisha sana mawakili uchwara wa serikali na mahakimu vilaza wa CCMSerikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,
Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Mkuu, inasikitisha sana,kuona kuna mambo yanaingiliwa na wanasiasa Kwa kutafuta sifa au kukomoana.Kuna yule mjinga marehemu kwa sasa alikuwa akisema watu wale tangawii na limao na kujifukiza na akajenga banda la kujifukiza muhimbili
MTU Kama yule kilaza ambaye alikuwa na PhD ya kufoji anajifanya Daktari n.k so nakuelewa.
Wanajua ilansasa wanajamrishwa cha kufanya wapo off mood bora liendeKuwa na kazi havihusiani kuwa na akili kubwa, Lissu amepiga parefu sana pia Wakili wa Serikali namuona kama sheria imemshika haiwezi .
Nchi ilipaswa itumie mtu makini kama TUNDU LISSU , anatufundisha sheria inavyofanya kazi.