Nimemuelewa mama Makinda, hawa akina Halima Mdee ndio " self made Opposition" kwa sasa tuwape muda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Na wanaweza kufanya vizuri bungeni na watanzania wengi wakashangaa kwa sababu watakuwa wanatenda kwa kumaanisha na siyo kutafuta kiki.

Mama Makinda amesema wao waliunda self made opposition iliyotakiwa sana na Nyerere ili kuikosoa serikali na kwamba walikuwa wakali kuliko hawa akina Freeman Mbowe.

Kiufupi Halima Mdee na wenzake watakuwepo bungeni hadi 2025.

Maendeleo hayana vyama!
 

Self opposition ni Babu Tale
 
Kama ni kiwango cha ujinga hiki kituko cha Leo ni balaa.
Self opposition inatengenezwa kwenye nchi ya mfumo wa vyama vingi?
Chama tawala kinatengeneza figisu wakati wa uchaguzi na baada ya chaguzi wanachambua watu na kuwafanya self opposition?
Hakuna hadhi ya self opposition baada ya kuvuruga uchaguzi.
 
Katiba yetu inazungumzia kuhusu self made opposition, kwa hiyo wanafahamu kabisa kuwa kina Halima mdee sio CHADEMA tena bali ni self made oposition eti
 
Kwakuhallishiwa haramu sio joni
 
Serikali batili na kila kitu chake batili time will tell! If you cannot respect the constitution you swear to ptotect what kind of leader are you?
Mwenzake wa Uganda angalau ameiba kwa akili. Huwezi kwangua halafu unarudi nyuma tena to make a bigger constitutional crisis!!!
Watz tumekuwa kama mizoga ya kuchezewa!
 
Upuuzi mtupu, wanatenda kwa makubaliano na nani?!
 
Siasa ni sayansi bwashee, usinune!
 
Mbona nyuzi zinazohusu Bunge mnazijalia enye CDM? Si msubiri baada 2025 ndo muanze kukomenti.....! Kumbe mnafatilia ee
 
Katiba yetu inazungumzia kuhusu self made opposition, kwa hiyo wanafahamu kabisa kuwa kina Halima mdee sio CHADEMA tena bali ni self made oposition eti
Muulize J J Mnyika kama Chadema inawatambua akina Halima Mdee kuwa ni wanachama wake!
 
Aisee Naona mnajitia vidole wenyewe kisha mnanusa
 
Hawa wamama nimashujaa kupita ufipa yotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…