Nimemuelewa mama Makinda, hawa akina Halima Mdee ndio " self made Opposition" kwa sasa tuwape muda!


Wabongo uchaguzi fake!, wabunge fake na wanachagua wabunge wa upinzani fake! Magojwa fake...... Tanzania tumekuwa fake
 
Tusiandikie mate na wino upo tusubiri hii minne tuone
 
Unakuwaje self made kama hujawa mgombea binafsi
 
Kama Nyerere na CCM walikuwa wanataka selfa made oppotion basi wangeliruhusu Private or Independent candidates ....!! Akina Cov19 ni wasaliti tu .....!!
 
Kuna uhitaji na matamanio, endeleeni kutamani.

Mbona inaeleweka kuwa wamepatikana kupitia kwa spika na Tume? Ila pia inawezekana kwa maagizo toka juu. Kwani Makinda anatueleza haya kwa katiba ya nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…