Barnabas mgimba
Member
- Apr 29, 2013
- 25
- 3
Wanaomtetea Ruge wamezaliwa miaka ya 2000's na kuendelea, Jide alikuwepo kabla ya hata ya hiyo redio ya wafu, ameimba na kina marehemu Zomba (D-Rob), Fanani wa Hardblasters, Afro Reign kipindi hicho Radio One pekee ndo ilikua inabamba chini ya madj wa ukweli Rankeem Ramdhani, Mike Mhagama na kadhalika.
So kuhusu Jide kujulikana kimusic redio ya wafu imemkuta na ikatumia truck zke ili kupendesha redio yao.
Ruge ajibu hoja za msingi za Jide na sio kutumia redio kuongea uongo kwa jamii.
Sugu, Mapacha, Rama Dee, Mkoloni, Solo Thang, Afande Sele, 20 Percent, hawa wote wanamsingizia?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hivi mbona wa tz tunapenda kuishi kwa tuhuma . Kwann umtuhumu mtu. Weka ushahidi ili mtu akujibu kwa ushahidi . Baadala yake mtu aki fail maisha anaanza kutuhumu watu. Hivi kila mtu akitaka ajibu anachotuhumiwa itakuwaje? Hivi utafukuzwa vipi kwenye ukumbi ambao una mkataba nao ? Mimi hainiingii akilini? Music ni biashara. Harafu hivi mwanamusic kama mwanamusic anashawishiwaje asiimbe na furani na akakubali ukiona hivyo ujue hiyo hailipi.
Kuna nchi huko majuu kupiga nyimbo ya mwanamuziki inabidi radio imlipe . Leo bongo wanamuziki wanalilia radio zipige nyimbo zao harafu wanalalamika eti hawana maendeleo. Inachekesha. Kwani radio ni lazima clouds. Siku hizi kuna fm radio kibao mpaka za dini. Kila mkoa una radio peleka huko wapige. Hivi utaiombaje au kuilazimishaje radio ipige nyimbo yako huoni kama ni utumwa unautafuta mwenyewe
Kweli we kupe....umejinyonya hadi akili yako. Jide hakulalamika kuhusu clouds kutopiga nyimbo zake tu, bali hawa jamaa kutumia pesa zao na nguvu zao za ushawishi kubana mirija yote ya mafanikio kwa Jide, Ruge ni mtu hatari sana, usitumie nguvu zako tena siku nyingine kuja kumwaga ushuzi wako humu ndani.
Kweli we kupe....umejinyonya hadi akili yako. Jide hakulalamika kuhusu clouds kutopiga nyimbo zake tu, bali hawa jamaa kutumia pesa zao na nguvu zao za ushawishi kubana mirija yote ya mafanikio kwa Jide, Ruge ni mtu hatari sana, usitumie nguvu zako tena siku nyingine kuja kumwaga ushuzi wako humu ndani.
kwa maoni yangu maelezo ya Ruge yamejistosheleza
hivi wewe nawe ni wale wale auu unataka kutuchefua tuuu, hebu kama huna la kuongea utuliiie naona umetumwa wewe clous wamebaki wajingawajinga tuuu, cox yu wapi fina mango, masoud kipanya, bonda, gadnaa, mmebaki kufanya mambo ya unyonyaji tuuuuu, sugu, mr pool mr nice saida karoli, mmewafanya vibaya sasa mwataka hata dada wa watu mumlambe auuu ni balaaa mwamtafutiaaa shwenxiii weeee ukomeeeWho is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi
maelezo yake pumba tupu. ameanzisha band ili amkomoe komando ?
sidhani kama naweza tumia nguvu yote hiyo kwa ajili ya kumkomoa jide, ana band yake ya tht inaitwa adama nafikiri nguvu anaweka kule zaidi, kuendesha band sio kitu kidogo kaka na yeye kasema band ni ya sebastian ndege
We na huyo Ruge wote wa
pu
mba.
vu